Utofauti uliopo katika biashara ya cryptocurrency na forex

Utofauti uliopo katika biashara ya cryptocurrency na forex

Binafsi bora nibakie kwenye forex tu. Kufanya technical analysis ni rahisi zaidi kwangu kuliko kufatilia news.

Sent using Mikoyan MiG-29
Technical analysis, sio 100% correct, pia kumbuka techcal inaweza kuathiriwa na news.kwenye crypto,technical is there just for approve,bt isn't work propaly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama nilivyosema Mimi siongei theoretically naongea vitu kiuhalisia kabisa. Cryptocurency nimeisoma kozi kabisa miezi miwili na ninaifanya .. Hivi sasa Nina lundo la alt coins za FunFair tangu mwezi wa pili mwaka huu kila siku zinashuka thamani. Unaweza kukaa zaidi ya miezi 6 hujala hata 100 kwenye cryptocurency.


Ila Forex sijawahi kukaa siku 2 sipiga walau dola 50 , naongea kama MTU Mwenye uelewa kiasi wa hivi vitu na uzoefu wa kufanya (Practical experience).




Sent using Jamii Forums mobile app
shule inapatikana wapi? nami nataka kusoma
 
Ile,ilikua buy the rumor sell the news.
Isn't official approved,
Hata developer na magement ya coin yake, wapo unknown up to know br

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesoma kila Kitu ulichoandika nathubutu kusema wewe uwezo wako kwenye financial market business ni mdogo sana tena sana.



Unaposema kwenye crypto huwezi poteza... Hivi unajua Bitcoin imewahi kufika dola 25,000?? Kwa sasa thamani yake ni dola 7000 ,hivi wale walionunua ikiwa dola 25000 unadhani hawana hasara !!!!?


Na je unajuaje kama itashuka mpaka USD 0 ,yani ifutike.


Kijana fuatilia vitu acha kufuata mikumbo.



NARUDIA TENA. WATANZANIA KITU PEKEE KINACHOTUKWAMISHA NI KUTOKUFUATILIA NEWS.


BITCOIN tangu iwe banned China na India haiweza tena kuinuka tena (Hii tunza kama kumbukumbu) ... China na India zina jumla ya watu zaidi ya billion 3 kuzuia Bitcoin ni pigo. Halafu fuatilia sababu za kupiga ban.



Kuhusu Forex sitaki niargue na wewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa anayetaka kuinvest kwenye crypto: Nunua BUXCOIN ambayo ni 3rd generation na ina trading platform yake yenyewe. bado iko changa Euro 0.3 kwa coin kwa miezi 20. Minimum nvestment Euro 200
 
Technical analysis, sio 100% correct, pia kumbuka techcal inaweza kuathiriwa na news.kwenye crypto,technical is there just for approve,bt isn't work propaly

Sent using Jamii Forums mobile app
Nothing is 100% kwenye financial markets. Napata signal accuracy ya 85-90% kwa technical analysis pekee.

That's a good bargain.

Sent using Mikoyan MiG-29
 
*STICK WITH BIG BROKERS, WHO ARE PROMINENT & HAVE BEEN TRIED & TESTED ALREADY. BEYOND REASONABLE DOUBT THEY ARE PROVED TO BE HONEST, PURE ECN,SMALL SPREADS FROM ZERO, OPEN & TRANSPARENT.*

*TO OPEN LIVE ACCOUNT & IF YOU WANT ME TO GUIDE YOU THROUGHOUT THE WHOLE PROCESS TILL YOU HAVE REACHED MT4 LIVE ACCOUNT. TICKMILL IS THE LEADING BROKER.*

*FEEL COMFORTABLE BY REGISTERING YOURSELF USING THE LINK BELOW.*




_*MEMBERS* USE THIS LINK_

https://secure.tickmill.com/redirec...ure.tickmill.com/trader/?task=1050&lang=2

*NOTE*

Below are the main points why to use Tickmill:

IpayAfrica mobile deposit / withdrawal option ( by next week will be available )

Those who will register with Tickmill using that IB link will get a discount on the commission charged on their trading activity on Pro account

Excellent trading conditions
Fast execution
Spreads from 0.0
85 Trading Instruments
No requotes
Negative Balance protection
Strong regulation
Segregated accounts
Industry Awarded
EAS and Algos Allowed
Fast withdrawals without commissions
Support in 15 languages via Chat, online message, email and phone
Mon-Fri 07:00-20:00 (GMT)
 
Back
Top Bottom