Utofauti uliopo katika biashara ya cryptocurrency na forex

sababu zikiwa ni zipi mpaka asilinganishe?
Market cap ya cryptocurency ni USD billion 230, unaijua market cup ya Forex ?? Zaidi ya USD trillion 3 kwa siku , unalijua hilo ???

Hakuna financial market duniani na mbinguni yenye volatility kubwa zaidi ya Forex kwa siku, zaidi USD trillion 3 zipo sokoni kwa siku .... Ya pili ni stocks. Sasa sijui unataka ueleweshwe nini.

Halafu hiyo cryptocurency especially Bitcoin imekuwa expected muda mrefu kuwa bubble muda wowote itapasuka

Hebu mcheki billionaire Warren buffet akiiingelea Bitcoin na cryptocurency kwa ujumla. Warren Buffett says bitcoin is 'probably rat poison squared'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
huoni ulichofanya hapa bado ni kulinhanisha bit na forex japo kwa njia ya maswali? mwenzako kazilinganisha kwa njia ya kawaida tu ukamkataza asirudie kulinganisha
 
Hata shule watu walisoma kwa malipo makubwa na wakazungusha so kusema malipo hakunitishi .

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama nilivyosema Mimi siongei theoretically naongea vitu kiuhalisia kabisa. Cryptocurency nimeisoma kozi kabisa miezi miwili na ninaifanya .. Hivi sasa Nina lundo la alt coins za FunFair tangu mwezi wa pili mwaka huu kila siku zinashuka thamani. Unaweza kukaa zaidi ya miezi 6 hujala hata 100 kwenye cryptocurency.

Ila Forex sijawahi kukaa siku 2 sipiga walau dola 50 , naongea kama MTU Mwenye uelewa kiasi wa hivi vitu na uzoefu wa kufanya (Practical experience).

Ahaaa labda tulikua hatujaelewana mimi natetea forex yaani wewe je....maana naona kama tupo upande mmoja vile?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Market cap ya cryptocurency ni USD billion 230, unaijua market cup ya Forex ?? Zaidi ya USD trillion 3 kwa siku , unalijua hilo ???

Hakuna financial market duniani na mbinguni yenye volatility kubwa zaidi ya Forex kwa siku, zaidi USD trillion 3 zipo sokoni kwa siku .... Ya pili ni stocks. Sasa sijui unataka ueleweshwe nini.

Halafu hiyo cryptocurency especially Bitcoin imekuwa expected muda mrefu kuwa bubble muda wowote itapasuka

Hebu mcheki billionaire Warren buffet akiiingelea Bitcoin na cryptocurency kwa ujumla. Warren Buffett says bitcoin is 'probably rat poison squared'

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro nahisi tupo upande mmoja kumbe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma Forex na Cryptocurency tena kwa malipo....

Siku nyingine usirudie hata kidogo kuilinganisha Forex na cryptocurency. Naomba niishie hapo tu. Ila nakuomba usifananishe Forex na cryptocurency

Sent using Jamii Forums mobile app
Unazo sababu na mm nnazo sababu.
I do cryptocurrency for my interest, cdhani kama ulikua na interest na kitu ambacho ulikua unasoma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Market cap ya cryptocurency ni USD billion 230, unaijua market cup ya Forex ?? Zaidi ya USD trillion 3 kwa siku , unalijua hilo ???

Hakuna financial market duniani na mbinguni yenye volatility kubwa zaidi ya Forex kwa siku, zaidi USD trillion 3 zipo sokoni kwa siku .... Ya pili ni stocks. Sasa sijui unataka ueleweshwe nini.

Halafu hiyo cryptocurency especially Bitcoin imekuwa expected muda mrefu kuwa bubble muda wowote itapasuka

Hebu mcheki billionaire Warren buffet akiiingelea Bitcoin na cryptocurency kwa ujumla. Warren Buffett says bitcoin is 'probably rat poison squared'

Sent using Jamii Forums mobile app
JP morgan,Warren na bill gate , hawawezi Ku accept cryptocurrency, coz wanajua ,hawezi Ku compete na new business integration ambazo ,zipo under blockchain technology,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi bora nibakie kwenye forex tu. Kufanya technical analysis ni rahisi zaidi kwangu kuliko kufatilia news.

Sent using Mikoyan MiG-29
 
Back
Top Bottom