peter kasanga
Member
- Jun 1, 2017
- 49
- 9
Je kuna utofauti gani kati ya forex na bitcoin na je ni biashara gani kati ya hizo ni rahisi kufanya na inakupaje pesa na je nashauriwa kufanya biashara ip kati ya hizo mbili??
Matapeli kivipi kaka mbona watunasikia wanapiga pesa kama forexni biashara mbili tofauti kabisa ila zinafanana kitu kioja kwamba wanaoziendesha ni matapeli 95%
Forex ni biashara ya Jumla ya ku deal na Upandaji na Ushukaji wa thamani ya Currencies mbalimbali. Unanunua Currency fulani ikiwa na value ndogo unakuja kuiuza ikiwa na value kubwa. Bitcoin ni currency mojawapo katika hizo currencies unazo cheza nazo kwenye Forex. Kwa hiyo Bitcoin ipo ndani au ni sehem ya Forex.Je kuna utofauti gani kati ya forex na bitcoin na je ni biashara gani kati ya hizo ni rahisi kufanya na inakupaje pesa na je nashauriwa kufanya biashara ip kati ya hizo mbili??
Maelezo jinsi ya kujiunga unaanzaje na wapi hyo cryptconNakushauri jiunge na cryptocurrency nyingine ambazo zinakaribia kuingia public maana utanunua kwa bei nafuu na ukiingia public unatusua fedha nzuri.Bitcoin ni but kwa mwanzaji ni so expensive nk ! Nakushauri nunua "one coin" / google hilo neno utapata maelezo na video poa kabisa,almost five months to come itaingia kwenye public use/ ushauri wangu tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
.Nimesoma kila Kitu ulichoandika nathubutu kusema wewe uwezo wako kwenye financial market business ni mdogo sana tena sana.
Unaposema kwenye crypto huwezi poteza... Hivi unajua Bitcoin imewahi kufika dola 25,000?? Kwa sasa thamani yake ni dola 7000 ,hivi wale walionunua ikiwa dola 25000 unadhani hawana hasara !!!!?
Na je unajuaje kama itashuka mpaka USD 0 ,yani ifutike.
Kijana fuatilia vitu acha kufuata mikumbo.
NARUDIA TENA. WATANZANIA KITU PEKEE KINACHOTUKWAMISHA NI KUTOKUFUATILIA NEWS.
BITCOIN tangu iwe banned China na India haiweza tena kuinuka tena (Hii tunza kama kumbukumbu) ... China na India zina jumla ya watu zaidi ya billion 3 kuzuia Bitcoin ni pigo. Halafu fuatilia sababu za kupiga ban.
Kuhusu Forex sitaki niargue na wewe.
Sent using Jamii Forums mobile app
What if isipoingia?Nakushauri jiunge na cryptocurrency nyingine ambazo zinakaribia kuingia public maana utanunua kwa bei nafuu na ukiingia public unatusua fedha nzuri.Bitcoin ni but kwa mwanzaji ni so expensive nk ! Nakushauri nunua "one coin" / google hilo neno utapata maelezo na video poa kabisa,almost five months to come itaingia kwenye public use/ ushauri wangu tu mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
What if isipoingia?
Kuwa na akiba ya manenoUwe na akiba ya Maneno mkuu usione kwamba mawazo yako yatakuwa sahihi siku zote kwa asilimia 100
Sasa ni muda wa wewe kuumbuka Hahahhah.
Haya watu wametunza kumbukumbu kama ulisema. Na kwa sasa Bitcoin imerudi na iko juu kabisa kwa sasa ni USD 32,000/= Una lipi la kutuambia?
Cc Kim Jong JrView attachment 1685016View attachment 1685018
"BITCOIN tangu iwe banned China na India haiweza tena kuinuka tena (Hii tunza kama kumbukumbu) .."Kuwa na akiba ya maneno
Content yangu bado iko valid nakwambia tunza maneno"BITCOIN tangu iwe banned China na India haiweza tena kuinuka tena (Hii tunza kama kumbukumbu) .."
""HAIWEZI TENA KUINUKA""" hapo ndio unakosea sasa nikuulize kutoka $7000 hadi $32,000 ni KUINUKA? au ni KUKAA? au KUCHUCHUMAA? au ni KUFA kabisa?
Lastlt:
Je kwa walionunua kwa $25,000 na kwa sasa ni $32,000 Hiyo ni Gain au Loss?
Haya Njoo usiponijibu tena hii hoja basi nakuacha kama ulivyo.Content yangu bado iko valid nakwambia tunza maneno