Hapana haiwezi kuwa ivyoo. Panatofauti kubwa sana, athari zangu hapa nimelenga kwenye tofauti kubwa ya umri na dini tu, ndio wazoefu na hali hizo walete madiniChangamoto na athari ni zile zile tu, kama za mliyeachana
Huwezi kuwa unajua kila kitu na tunajua kwa kujifunza kwa njia mbalimbali. Humu naamini kuna wazoefu, na wajuzi wa izo hali mbili nilizozieleza hapo juu, kwenye uzi wangu.Kama hujui changamoto za unachoenda kukabiliana nacho hiyo ni changamoto ya kwanza.
Hata kama ukiambiwa hutaweza kuvuka hiyo changamoto na utaishia kuishi maisha ya changamoto!
Jitibu ugonjwa wa kung'ambua changamoto
Nimekupata uzuri sana mkuuHapo hakuna athari labda mziunde nyie. Hapo umepata chombo kibichi mzee baba utafarijika kisaikolojia kwa hiyo range ya miaka. We ni mkristo wa dhehebu gani? Kama ni mkatoliki haina shida, kama ni mpentekoste sharti huyo binti atubishwe awe mpentekoste kwelikweli tena ajazwe roho mtakatifu na abatizwe ubatizo wa maji mengi ndio umuoe. Ukatolikini wanakubali ndoa mseto wa dini utaifungia kanisani huku mkeo akiendelea na uislam wake ila watoto watakuwa ni wakatoliki, nadhani umenipata, uliza tena ujibiwe
Ndio nimechunguza kiasi tuu mkuu, sababu ni majirani kiasi chake nawaona. Japo binafsi siamini katika laana, naamini katika malezi sio laana.-Dini yao hao watu wa mudy inasema kuwa mwanamke hana dini
-umri si tatzo, tena ni tofauti nzuri sana
1. Nimefurahi kuwb unaanzia kwa wazazi, hlo ni jambo jema: swali langu UMEISHACHUNGUZA HYO FAMILIA? INA MALEZI MEMA? USIJE LETA LAANA LANGONI KWAKO
2. Washirikishe wazazi wako hili jambo (kama hawapo, angalia nduguzo zako wenye heshima ya kuwa wazazi; tahadhari usipeleke viongozi wa dini kwenye mambo yako ya ndoa, labda wawe viongozi wa kiroho (hapa hautanielewa)
3. OA KIJANA, ACHANA NA KUNDI LA LAANA LILILOKATAA KUOA USIJEKUTA UNAISHI KWA NYETO.
Ndio nimechunguza kiasi tuu mkuu, sababu ni majirani kiasi chake nawaona na kupata habari zao.Kama umemfatilia tabia zake na una dondoo za past yake oa mkuu. Miaka 19-22 ndio umri ambao mwanamke anakua na upendo halisi.
Hawa wa kuanzia miaka 23 tayari kuna wahuni washaacha alama akilini mwao. Ukijichanganya kuoa you will forever be in competition with ghosts.
Mkuuu shikamoo nimesoma mara 10 nikalia sana sana mwambie azingatie hiyo sentence kwa umakini mkubwa sanaaaa maaana atakuja kulia kama mimiHawa wa kuanzia miaka 23 tayari kuna wahuni washaacha alama akilini mwao. Ukijichanganya kuoa you will forever be in competition with ghosts.
Pole sana mkuuMkuuu shikamoo nimesoma mara 10 nikalia sana sana mwambie azingatie hiyo sentence kwa umakini mkubwa sanaaaa maaana atakuja kulia kama mimi
Ila nimecheka sanaMkuuu shikamoo nimesoma mara 10 nikalia sana sana mwambie azingatie hiyo sentence kwa umakini mkubwa sanaaaa maaana atakuja kulia kama mimi
Hata hao bado kuwa makini sana ni muhimu, huonagi kuna nyuzi za kula vitoto nyingi tuu humu.Mm mwenyew akili yangu mwanamke nimzidi 9, 10 yrs
Hawa wengne naona tutasumbuana