Victor Mlaki
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 5,544
- 6,311
- Thread starter
- #21
Nimechukua haya maelezo mazuri rafiki.Kutoa ni moyo na siyo utajiri... na ukitoa toa bila kukumbuka...
Nimechukua haya maelezo mazuri rafiki.Kutoa ni moyo na siyo utajiri... na ukitoa toa bila kukumbuka...
Mkuu nashukuru kwa kuileta hii kitu katika uzoefu wa kawaida kabisa wa kila siku.Nakumbuka mzee wangu alikua anatoa sana misaada kwa ndugu,jamaa na watu wa Jamii tuliyotoka huko kijini kwao, kwakweli nyumbani hatukuwahi kupungukiwa kitu tuli ishi maisha ya amani tulipata mahitaji yetu yote mhimu hata biashara zake hazikukwama hii kitu ni real