Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,044
- 126,058
Duka la vifaa vya michezo.Kwenye duka lake la nguo
Duka la vifaa vya michezo.Kwenye duka lake la nguo
Mkuu mi sijaelewa hata kwani ndo jezi za msimu huu zimevuja ama?Ni uchafu😇
Muulize mkuu Kipenzi ch.a..ko🤣Mkuu mi sijaelewa hata kwani ndo jezi za msimu huu zimevuja ama?
DaahKipenzi ch.a..ko🤣
Mbona kama gwandaView attachment 3637512
Hizi sio jezi, hizi ni sare 😂😂😂
Halafu sijui ili liaidii amelipendea nini? 🤣🤣Muulize mkuu Kipenzi ch.a..ko🤣
Kipenzi Changu eti umezitolea wapi hizi?Muulize mkuu Kipenzi ch.a..ko🤣
Mind you, this ID is for you.Halafu sijui ili liaidii amelipendea nini? 🤣🤣
Nimevujishiwa na mwana Yanga dukani kwao. Labda zinatumika kupima upepoKipenzi Changu eti umezitolea wapi hizi?
🤣🤣🤣 nipo kwenye sehemu inayohitaji userious, ila nimechekaView attachment 3637512
Hizi sio jezi, hizi ni sare 😂😂😂
Ukivaa hizo unakuwa kama mtu wa kuchora.Kipenzi Changu eti umezitolea wapi hizi?
Waombe radhi ulionao.Haina namna.🤣🤣🤣 nipo kwenye sehemu inayohitaji userious, ila nimecheka
💯Jezi ni sare
Duh!Nimevujishiwa na mwana Yanga dukani kwao. Labda zinatumika kupima upepo
😃😃Ukivaa hizo unakuwa kama mtu wa kuchora.
Huyo anauza vifaa vya ujenzi humohumo na jeziDuka la vifaa vya michezo.