Utitiri wa baa Kinondoni

Utitiri wa baa Kinondoni

ksb

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
42
Reaction score
0
Wanajf,katika pitapita yangu Kinondoni kuanzia pale vijana nimeona muendelezo wa chimbuko la bar kama uyoga,mna maoni gani kuhusu hili?
 
Ziongezwe nyingine, hizi zilipo hazitoshi kulingana na idadi ya wakazi wa kinondoni na vipata wanavyo ingiza.
 
Wanajf,katika pitapita yangu Kinondoni kuanzia pale vijana nimeona muendelezo wa chimbuko la bar kama uyoga,mna maoni gani kuhusu hili?

karibu tutafune mbuzi hapa new club jacaranda
 
njoo sinza kwetu kuna baa karibia 500.
 
Totoz na ile Castle Lite live vitu vinapanda kweli teh teh (jokes)
 
We mlokole si bule na itakuwa umeokoka jumapili iliopita.
 
wanajf,katika pitapita yangu kinondoni kuanzia pale vijana nimeona muendelezo wa chimbuko la bar kama uyoga,mna maoni gani kuhusu hili?

sasa wewe hujui baa ndio zinazo endesha serikali,kama hujui nenda[tra] wa kwambie nani ni mlipaji kodi mzuri kwenye nchihi utalia ndugu,leo nilikwenda phamasi kununua dawa,akaja bwana mmoja alikua kama ana fangazi usoni imemletea vidonda sasa doctor,akampa dawa,lakushangaza huyu bwana akasikitika kweli akamwambia doc kwaiyo kweli leo sinywi pombe,doc akamwambia ndugu yangu sikwambi usinywe leo bali uiache pombe kabisa,nilishangaa sana yani mtu anajali pombe kuliko afya yake,amakweli pombe pombe itawa maliza watanzania na serikali inachekelea na kuipa matuzo [tbl]kweli mungu atunusuru wa tanzania,
 
Wacha watu wajiachie,................. maisha yenyewe yako wapi!??
 
Wanajf,katika pitapita yangu
Kinondoni kuanzia pale vijana nimeona muendelezo wa chimbuko la bar kama
uyoga,mna maoni gani kuhusu hili?

karibu hapa Uhuru peak tupate mchemsho wa samaki lol..
 
Wanajf,katika pitapita yangu Kinondoni kuanzia pale vijana nimeona muendelezo wa chimbuko la bar kama uyoga,mna maoni gani kuhusu hili?

kama huna pesa ya bia wahi nyumbani kwako kalale, biashara ya bar inalipa na wenye pesa tunakunywa usituharibie starehe
 
sasa wewe hujui baa ndio zinazo endesha serikali,kama hujui nenda[tra] wa kwambie nani ni mlipaji kodi mzuri kwenye nchihi utalia ndugu,leo nilikwenda phamasi kununua dawa,akaja bwana mmoja alikua kama ana fangazi usoni imemletea vidonda sasa doctor,akampa dawa,lakushangaza huyu bwana akasikitika kweli akamwambia doc kwaiyo kweli leo sinywi pombe,doc akamwambia ndugu yangu sikwambi usinywe leo bali uiache pombe kabisa,nilishangaa sana yani mtu anajali pombe kuliko afya yake,amakweli pombe pombe itawa maliza watanzania na serikali inachekelea na kuipa matuzo [tbl]kweli mungu atunusuru wa tanzania,

ugali wenyewe unaokula ni pombe tupu, wacha ninywe mie hii ya serengeti au TBL iliyotoka kiwandani
 
Kama unaona ni shida basi waambie wahamie uswazi Mbagala kuliko na jalala kila kona wakafungue baa huko.
 
Wanajf,katika pitapita yangu Kinondoni kuanzia pale vijana nimeona muendelezo wa chimbuko la bar kama uyoga,mna maoni gani kuhusu hili?

Sasa ulitaka wafungue magenge ya kahawa na tende ama? Na je wangefanya hivyo ungelalamika?
 
Back
Top Bottom