Utilivu Camp 149 Soko la Kibasila kijiwe cha wafanyakazi wa Ilala Manispaa kula unga na kuvuta bangi

Nazjaz

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
7,725
9,051
Utulivu camp kibanda namba 149 soko LA Kibasila kwa muda mrefu wamekuwa wakiuza bangi na unga haramu kwa wafanyakazi wa manispaa ya Ilala muda wa kazi tena wakiwa kwenye uniforms.
Wafanyakazi hao wa Manispaa hufika kila siku wakiwa kwenye vikundi Vya watu 5-7.
Tunaomba jeshi LA Polisi wafanye uchunguzi wao na kuwafikisha mahakamani wahuni hawa wasio hata na chembe moja ya kuwa watumishi wa umma.
CC:-
Meya wa Ilala
Mkurugenzi wa Manispaa Ilala
Mkurugenzi wa jiji Dar Es Salaam
Mkuu wa Polisi Kanda Maalum Dar Es Salaam
na IGP
 
Mkuu mtagg na mheshimiwa. Akitoka mlimani aiweke mezani na hii....


Searching.................
Mheshimiwa loading.................
 
Acha ufara, huoni anasaidia jamii. Sema kama unaharibiwa biashara, au wewe teja
Jamii gani unayosaidia ungekuwa na nia why usinde kushtaki polisi au hapa ndio polisi? Rudi shule wewe hatuna neno fara kwenye kamusi
 
We utakuwa na jinsia ya ke au homon wanaume hawana tabia zako
Habari zake huwa ni za uhakika sana na zimesaidia wahusika wengi kutiwa nguvuni ni spy dog mzuri sana tofauti na zile habari za umbea za celebis wa bongo
Trust me zitakuja uptodates kuhusiana na hili
 
Back
Top Bottom