Tulizo
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 848
- 663
"Atamwacha baba na mamaye ataambatana na mumewe" ndani kabisa ya moyo wa mwnamke kuna ndoto ya kuchukuliwa na mwanaume mtanashati na mwenye kummiliki, vile vile maisha ya mwanamke mtawala mwanaume yamejaa huzuni, wasiwasi na mapungufu unless anatawaliwa somewhere
Kumbuka kuna wanawake ambao wako very strong kiasi cha kutokuwa na wasiwasi, huzuni na kutopenda kutawaliwa. Ndoa ni "Partnership" na sio "oppression". Kumbuka Amri kubwa kuliko zote ni "Pendaneni kama nilivyowapenda mimi" Tunaambiwa Mola hakusema mmoja amtawale au amiliki mwingine. Nyote mpendane na utii na usawa 50% 50%..
Lakini kumbuka Nidhamu ya woga ni sumu ya maisha! Hivyo ukifuata yaliyoandikwa bila kufikiri ni sawa na nidhamu ya woga..".."Ukitii utakula mema ya nchi"
UTII wa mwanamke huifullfill nafsi ya mwanume na yeye kujisikia rijali na hivyo kitohitajika nguvu mbadala ktk mapenzi-sasa tunaona mke akipendwa sana, akienziwa na hata kubembelezwa..na ni wakati huu mme anapowajibika kwa familia yake.
Utii wa mwanamke peke yake hautoshi.. Mwanaume inabidi ajue mapungufu yake. Kumbuka mwanaume ni mbinafsi toka kuzaliwa. Zaidi ya utii kwa mwanaume, mwanamke inabidi amwombe Mola amsaidie kupunguza au kuponywa ubinafsi wa Mwanaume hapo ndipo mwanaume atakapowajibika kwa familia yake..
Mashindano,ubishi na hata kumlinganisha mwanaume ni sumu isiyo na simile ktk ndoa(impotance,ubaridi,kutojiamini na KUASI)..Nimefanya utafiti kidogo nimekutana na semi za wanaume ukioa mwanamke mwenye elimu/fedha nyingi atakusumbua..
Huu ndio ubinafsi na "inferiority complex" ya mwanaume, Mwanamke amwombe Mola amponye mwanaume kwa hili..