Utii wa mwanamke ni dawa tosha ya nguvu za kiume | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utii wa mwanamke ni dawa tosha ya nguvu za kiume

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MORIA, Jul 4, 2011.

 1. M

  MORIA JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  "Atamwacha baba na mamaye ataambatana na mumewe" ndani kabisa ya moyo wa mwnamke kuna ndoto ya kuchukuliwa na mwanaume mtanashati na mwenye kummiliki, vile vile maisha ya mwanamke mtawala mwanaume yamejaa huzuni,wasiwasi na mapungufu unless anatawaliwa somewhere..."Ukitii utakula mema ya nchi" .UTII wa mwanmke huifullfill nafsi ya mwanume na yeye kujisikia rijali na hivyo kitohitajika nguvu mbadala ktk mapenzi-sasa tunaona mke akipendwa sana, akienziwa na hata kubembelezwa..na ni wakati huu mme anapowajibika kwa familia yake. Mashindano,ubishi na hata kumlinganisha mwanaume ni sumu isiyo na simile ktk ndoa(impotance,ubaridi,kutojiamini na KUASI)..Nimefanya utafiti kidogo nimekutana na semi za wanaume ukioa mwmke mwenye elimu/fedha nyingi atakusumbua..Ewe msichana/mwnamke ni wakati wa kuikamata ndoa yako TII sasa kama agizo la BWANA
   
 2. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,672
  Trophy Points: 280
  Hapa kuna ukweli 75%!!!!
   
 3. Chris_Mambo

  Chris_Mambo JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 11, 2010
  Messages: 597
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  That's true, I agree with you!
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Umejitahidi ila uliposema “maisha ya mwanamke yamejaa huzuni na mapungufu unless anatawaliwa somewhere“ umeangukia uso....yani naomba niseme umepotoka.Labda ungesema baadhi ungeleeweka zaidi na mimi ningekubaliana na wewe kwasababu najua wapo wanawake ndoa/mahusiano kwao ni zaidi ya HITAJI na SIO TAKWA‘!
   
 5. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Una akili sana wewe! Machangudoa hunyenyekea sana wanaume (hata kama ni kwa hila) ndio maana wanajinyakulia waume za watu kiulaini na hawachomoki hata kwa dawa!
   
 6. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  "Hakika nitakuzidishia uchungu wa kuzaa na tamaa yako itakuwa kwa mwanaume naye atakutawala!" (Mwa. 3:16).
   
 7. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tukianza kuleteana mistari hapa hatutomaliza...tumeambiwa tupendane ila sio kila mtu ana uwezo wa kupenda...makosa kibao kwenye biblia tunambiwa tuadhibu kwa kuua ila hatufanyi hivyo...tunafundishwa kulipa visasi pia kutokufanya hivyo kwahiyo kila mtu anachagua kipi kinamfaa mle.As for me sina HITAJI la kutawaliwa though naweza nikawa NAPENDA ikitokea!
   
 8. Sabry001

  Sabry001 JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,064
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Exactly Lizzy!
   
 9. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  These things are mutual, dont put it to women only as their responsibility
   
 10. S

  Salimia JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mmmh! Wengine hata uwape nini hawaridhiki!
   
 11. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #11
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Agggrrr,...
  Lizzy bana,yaani wewe ukiletewa scripture tu unawakaaaaa,...
  sasa base/msingi wa ubishi wako ni nini?

  The word of God is the only truth to set us free from all
  hardships we experience in our daily life,sasa unapo kataa scripture inayo
  onesha kwamba unatakiwa kunyenyekea sikuelewi,unless ume tengeneza "manual" yako au huamini Biblia,...
  for me my manual is the word of God,the Bible
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Jul 4, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hata hii umewapa?

  [​IMG]


  Toa avatar yako bana,haiendani na maadili ya JF
   
 13. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #13
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Kweli kabisa. Hata wanawake hawafikishwi kama mwanaume anakuwa ana act kama boss. Kwenye mapenzi hamna cheo bwana utii ni jeshini.


   
 14. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #14
  Jul 4, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Sio kila kilichoandikwa kwenye biblia ni Agizo kwa watu wote.Mengine ni maagizo specific kwa watu wa mahali fulani na kwa nyakati fulani and therefore usihitimishe kuwa biblia ina makosa kwa sababu tu ya test zako wewe au kwa kuchagua ni kipi kinakufurahisha na kipi kinakukera. Bible iko perfect ila udhaifu wako katika kuisoma kuielewa unaishia kuipotosha. Hakuna bibilia inayopfundishwa kulipa kisasi kwa kisasi...... Mmesikia imenenwa jicho kwa jicho,jino kwa jino lakini mimi nawaambia.... Akupigaye shavu la kuume........ Hayo ndio mafundisho ya biblia acha kupotoka na kupotosha wengine.
   
 15. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #15
  Jul 4, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,248
  Trophy Points: 280
  sawa kabisa eiyer! hiyo 25 % iliyobaki ni ile sehemu ya 'Mwanamke atamlinda mwanaume'. Kuna vitu ambavyo mwanaume akifanya huwezi kutii tu kwa sababu eti ni mume. Tupo kwa ajili ya kulindana,penye udhaifu unakuwa mkali kidogo la sivyo mwenzako atapoteza uhai, kazi na hata heshima yake kwenye jamii! tunaonyana na kukemeana kwa upendo

   
 16. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #16
  Jul 4, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  Ukizingatia biblia iliandikwa na wanaume.

   
 17. M

  MORIA JF-Expert Member

  #17
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Sabry hukunisoma vizuri ni mwanamke mtawala na sio woote
   
 18. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #18
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Yaani hata mimi sijamwelewa Lizzy anapopingana na Maandiko Matakatifu ya Biblia!
   
 19. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #19
  Jul 4, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kama Mungu aliwaagiza waandike kuna ubaya gani?
   
 20. M

  MORIA JF-Expert Member

  #20
  Jul 4, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 528
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Lizzy umenisoma vibaya ni wanawake watawala na siyo woote,kumbuka kutii ni dada yake kujitoa na usipojitoa kwa dhati huwezi fika kileleni, ndipo sasa ndoa huwa nchumali wa moto/maudhi
   
Loading...