UTI & Sex, naombeni ushauri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UTI & Sex, naombeni ushauri

Discussion in 'JF Doctor' started by sahihi, Aug 26, 2012.

 1. s

  sahihi Member

  #1
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakuu hivi kunauhusiano wowote kati ya UTI kwa wanawake na kufanya mapenzi. Ktk kutafuta tafuta nasoma kuwa wanawake wakubwa (achana na watoto) wanaweza kupata haka kaugonjwa baada ya kufanya mapenzi.

  Nisaidieni jamani maana baada ya kumdadisi rafiki yangu ameniambia kuwa anaumwa UTI wakati huohuo sina uhakika na mwenendo wake.

  Najua hana uzoefu na mammbo ya mapenzi.
   
 2. s

  sahihi Member

  #2
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  In young sexually active women, sexual activity is the cause of 75–90% of bladder infections, with the risk of infection related to the frequency of sex.[SUP][1][/SUP] The term "honeymoon cystitis" has been applied to this phenomenon of frequent UTIs during early marriage
   
 3. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,408
  Likes Received: 81,440
  Trophy Points: 280
  What Causes Urinary Tract Infections (UTI)?


  The most common cause of UTIs are bacteria from the bowel that live on the skin near the rectum or in the vagina, which can spread and enter the urinary tract through the urethra. Once these bacteria enter the urethra, they travel upward, causing infection in the bladder and sometimes other parts of the urinary tract.

  Sexual intercourse is a common cause of urinary tract infections because the female anatomy can make women more prone to urinary tract infections. During sexual activity, bacteria in the vaginal area are sometimes massaged into the urethra.
  Women who change sexual partners or begin having sexual intercourse more frequently may experience bladder or urinary tract infections more often than women who are celibate or in monogamous relationships. Although it is rare, some women get a urinary tract infection every time they have sex.

  Another cause of bladder infections or UTI is waiting too long to urinate. The bladder is a muscle that stretches to hold urine and contracts when the urine is released. Waiting too long past the time you first feel the need to urinate can cause the bladder to stretch beyond its capacity. Over time, this can weaken the bladder muscle. When the bladder is weakened, it may not empty completely and some urine is left in the bladder. This may increase the risk of urinary tract infections or bladder infections.

  Other factors that also may increase a woman's risk of developing UTI include pregnancy, having urinary tract infections as a child, menopause, or diabetes.
   
 4. s

  sahihi Member

  #4
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  BAK

  Du unazidi kunipa mashaka, na kunikaribisha kwenye jibu. inavyo onekana kuna kitu amekifanya na ilikuwa ni mara yake ya kwanza.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,866
  Likes Received: 6,218
  Trophy Points: 280
  acha kumuwazia mwenzako mabaya wewe.......


  halafu mapenzi hayana uzoefu....

  kumbuka sio sex tu ndo husababisha uti ingawa nayo huchangia ...

  anyway...

  kama alivyosema BAK

  • Uambukizo katika njia ya mkojo unapatikana kwa njia mbalimbali, tukiacha magonjwa ya kujamiiana, uambukizo wa njia ya mkojo unasababishwa na bakteria waishio ukeni au kwenye utumbo wa binadamu. Bakteria waishio ukeni hawana madhara ukeni, lakini wakihama na kuingia kwenye njia ya mkojo husababisha matatizo.

  • Hii inaweza kutokea wakati wa ngono kwani wakati huo msuguano husababisha wale bakteria kutoka na majimaji na kufika kwenye tundu la mkojo na kuingia ndani. Bakteria pia wanaweza kuhama kutoka sehemu ya haja kubwa na kuingia kwenye tundu la mkojo.
  • Hutokea wakati wa kujisafisha na hasa kama mabaki ya kinyesi hubakia sehemu ya haja kubwa.
  • Njia nyingine iwapo mwanamke atakuwa na tabia ya kubana mkojo kwa mda mrefu, kibofu cha mkojo kina misuli inayosadia mwanamke asiende kukojoa anapobanwa na mkojo mpaka atakapokuwa tayari. Iwapo atahisi kukojoa na asiende baada ya muda mrefu, ataichosha misuli ya kibofu kiasi kwamba hata siku anayokuwa na mkojo akikojoa hautoki wote na ule mkojo kidogo unaobaki kwenye kibofu huweka bakteria na kusababisha maambukizo.

  mwambie huyo binti awe msafi kunako maeneo bila kusahau achunge matumizi ya public toilets pia kuna maambukizo mengi sana kule...   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Mbwiga88

  Mbwiga88 JF-Expert Member

  #6
  Aug 26, 2012
  Joined: Jul 9, 2012
  Messages: 640
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  toka wewe hakuna rafiki wala nini ni we mwenyewe!
   
 7. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. HorsePower

  HorsePower JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 22, 2008
  Messages: 3,617
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 145
  Kwa kifupi si kila UTI kwa wanawake inasababishwa na kufanya mapenzi, kuna njia nyingine zinazosababisha mwanamke kupata UTI. Hivyo si vema kumfikiria mpenzi mabaya mapema. Ingekuwa ni STI (Sexual Transmitted Diseases) ungekuwa na uhakika kuwa mpenzi wako hana uaminifu kwenye mahusiano yenu.
  Mi si daktari, ila nakushauri jaribu kuipost mada yako JF doctor huko utakutana na wataalam waliosomea kazi zao na wenye uzoefu wanaweza kukupa ushauri mzuri zaidi ...
   
 9. mito

  mito JF-Expert Member

  #9
  Aug 26, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 7,610
  Likes Received: 1,984
  Trophy Points: 280
  Asante BADILI TABIA, hapo kwa red nimejifunza kitu, itabidi tumfuatilie kwa karibu msichana wetu wa kazi, nadhani hawasafishi vizuri watoto, manake haipiti miezi 2 bila kuugua UTI
   
 10. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #10
  Aug 26, 2012
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,408
  Likes Received: 81,440
  Trophy Points: 280
  ...Kwanini uwe na wasiwasi na kujiweka roho juu!? kuna sababu mbali mbali ambazo zimeorodhshwa hapo kwanini ujikite zaidi kwenye hiyo ambayo ni negative kuliko zote? Mwamini mwenzio banaa.

   
 11. s

  sahihi Member

  #11
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani nimesema nauliza, na nilicho kuwa najua ni ile UTI ya watoto na ninajua kwanini hutokea. hata kwa watu wazima najua inaweza kutokea kwa sababu nyingine hata kama zile za watoto. lakini pamoja na hayo naulizia kupana upana, tusikatae wakati kuna watu wanapata UTI kwa kupitia mahusiano kimwili. na sina lengo baya.
   
 12. s

  sahihi Member

  #12
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hiyo moja ndo naitaka, hizo nyingine nazijua.
   
 13. s

  sahihi Member

  #13
  Aug 26, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante kwa ushauri
   
Loading...