kinaonekana kipi na wewe unasema nini?JIheshimu mkuu watoto wanakuita baba,akili yako haipo sawa niini
ushahidi wa nini, how could dr slaa device demonic means to deal with ccm card issue wakati hata watoto wadogo hawataki kusikia huu ujinga?kasema ushahidi anao,tatizo liko wapi???mbona unatapatapa
kama hunahaja ya kuoment hapa umefanya nini?
Unaangali kilihoandikwa au unakagua spelling?Ila alihokiandika ben saa nane ndicho kimekamilika.Fiha upumbavu wako,onesha hekima yako
Chezea mwanamke...anaanika kila kitu nje...ni hatari sana kumpa siri mwanamke...
Juliana , vipi kikao chako wewe , MArtine Shigela , Eddo MAkata , GWakisa, MWampamba na Mchange juzi jumamosi kilichofanyika Sinza na kuendelea jumapili LUnch time hoteli? Huko ulitumwa na Bavicha?
Vipi kuhusu wewe na Getrudi KOkukwenda kuishi nyumbani kwa Mwigulu Dodoma wakati wa vikao vya Bunge la bajeti mwaka huu? Ulikuwa umetumwa na Bavicha?
Umeendeleza ushahidi kuhusiana na maneno ya Ben kuwa mlikubaliana kuwatenganisha viongozi wakuu yaani Mbowe na Dr.SLaa , na hapa umeendeleza kuwa mbaya wako ni Dr.SLaa , huyu anahusika vipi na Bavicha?
Vipi kuhusu kauli yako ya kumtetea Shibuda , na kupingana na Mwenyekiti wako , sakata la kuchunguzwa limeisha ama laa,
Naijua Intelijensia ya CDM kwa kweli ni hatari , mmeshikwa pabaya , chutama mtoto wa kike uko uchi...........,,,
Aidha, naona umeandikiwa ama na Mwampamba kwani paragrafu tatu za kwanza zinafanana na alichoandika Mwampamba katika utetezi wake , mko wote ? Hakika hufai hata kuwa mwenyekiti wa msingi kama akili zako ni za kushikiwa kiasi hicho.........
Safari yenu ya kwenda nje ya DSm lini? ........
Juliana,
Najua wewe ndiye makamu mwenyekiti wa BAVICHA na hii ni post yako ya kumi tu hapa JF. Nakupa benefit of doubt kwamba umeanza kuchangia baada ya Mamuya, Zitto na Saanane kuanza kujibishana.
Sasa kwa kuwa kuna mijadala mingine ilifanyika nyuma, unaweza kuirejea na kutupa majibu yako? Mfano,
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...-bavicha-umemsikia-shibuda-2.html#post5266711
Na Huu: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/266266-john-shibuda-na-mgogoro-wa-kauli-ya-kuisifia-ccm%3B-kauli-za-wana-chadema-47.html#post5266734