Uthibitisho wa hali tete ya uchumi: Benki hali mbaya mikopo isiyolipika yafika 51%, wananchi washindwa kulipa madeni

benki lazima zile hasra maana hata hizo dhamana hazinunuliki na kesi zinashinda mahakamani
 
Hivi kwa ilivyo mbaya huku mtaani kazi hakuna biashara ngumu wao wanaona hali ni nzuri tu kweli mwenye shibe hawezi kujua mwenye njaa
 
Ngoja washindane na namba halafu siku wakishindwa kabisa waje watuambie tatizo ni ZZK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…