abdulay1993
JF-Expert Member
- Jul 8, 2013
- 309
- 44
Kwan jaman udsm na mzumbe ndo mnapo pajua nyiny mbna vpo vyengne vzr
tcu kutofautisha rangi kwenye kozi zilizochaguliwa ina maana gani
Naona watu mnatokwa mapovu bure, narudia tena
WEWE KAMA HAUTACHAGULIWA KWENDA UDSM au MZUMBE basi ujue umeingia chaka kwa kulamba garasa tena huenda kuna kalaana kanakufatilia its better ukaenda kwa Tb Joshua akufanyie maombi kabisa, sababu huwezi kujiita msomi kama hujapita UD au MZUMBE. Byee
jamani wana jamii forum niondoen waswas nasikia wengine tayari washapata selection za vyuo kutoka tcu ila kwangu bado. kwenye first round niliambiwa PROCESSED SUCCESSFULLY. YOU HAVE BEEN SELECTED lakn nashangaa wengine washajua vyuo walivyochaguliwa lakini mimi bado. shida nini jamani
Namimi nimeliona hilo naomba mtusaidie wakuu
Naona watu mnatokwa mapovu bure, narudia tena
WEWE KAMA HAUTACHAGULIWA KWENDA UDSM au MZUMBE basi ujue umeingia chaka kwa kulamba garasa tena huenda kuna kalaana kanakufatilia its better ukaenda kwa Tb Joshua akufanyie maombi kabisa, sababu huwezi kujiita msomi kama hujapita UD au MZUMBE. Byee
Rang nyeusi huna vgezo kwenye iyo kozi yaan isamehe hutachaguliwa kwasabb hiyo na rangi ya blue n kwamba una vgezo na hiyo kozi unaweza kuchaguliwa. Naamin nimefahamika
Jamani wana jamii forum niondoeni waswas nasikia wengine tayari washapata selection za vyuo kutoka TCU ila kwangu bado. Kwenye first round niliambiwa PROCESSED SUCCESSFULLY. YOU HAVE BEEN SELECTED lakini nashangaa wengine washajua vyuo walivyochaguliwa lakini mimi bado.
Shida nini jamani
kaka waliojua selection zao ni wale waliobahatika kuziona pale zilipo leak wiki iliopita.dah m mwenyewe bado in progres lakn naskia watu wanasema et katika zile coz tana kama ukikuta rangi nyeusi basi hujakizi vigezo lakn kama rangi ni ya blue basi umekizi mi hata sielewi labda na wewe umesikia hili
MU012 | Bachelor of Health Systems Management (BHSM) | Mzumbe University | 1 | IN PROGRESS | PROCESSED |
Kama kozi gan ndo ututajie hapa!Wadogo zangu ivi mmeshasikia eti kwenye ajila wanaweka sifa ya chuo cha ud au mzumbe?
Kozi unayosoma tu ndio itakayokuwa mkombozi after 3-4yrs. Kuna watu mtamaliza ud after 3-4yrs mtajutia izo kozi zenu.
Omba uchaguliwe kozi nzuri na sio chuo fulani.
UD ? MZUMBE ? labda hizo nyengne sekondar
Wadogo zangu ivi mmeshasikia eti kwenye ajila wanaweka sifa ya chuo cha ud au mzumbe?
Kozi unayosoma tu ndio itakayokuwa mkombozi after 3-4yrs. Kuna watu mtamaliza ud after 3-4yrs mtajutia izo kozi zenu.
Omba uchaguliwe kozi nzuri na sio chuo fulani.
mtu aliyesoma chuo cha hovyo utamjua tu