Hongera Mwakyembe, you are moving in the right direction kwa uteuzi huu wa wakurugenzi!! Isipokuwa nadhani hapo ATCL ingawa ni wazo zuri kuanza tena operations lakini kumbuka kuwa tatizo kubwa hapo sio mtaji tu wa kutosha bali pia management hakuna ; hivyo kuanza operations bila kuwa na efficient management ni sawa na kujaribu kujaza maji kwenye ndoo iliyotoboka!! Nakutakia kila la kheri kwani time is your worst enemy; take cognisance of that!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.