pierre buyoya
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 476
- 163
Hahah... Jana usiku baada ya Mwenyekiti wa Chadema kumteua Dkt. Vicent Mashinji kuwa Katibu mkuu mpya wa chama hicho na Baadae baraza kuu kumpigia kura za wazi, Habari hii ndio ilikuwa habari kubwa kwenye mitandao ya kijamii na kila mtu alikuwa anahamu ya kujua undani wa Dkt. Mashinji. . .
Lakini jioni ya leo upepo umebadilika Ghafla ni baada ya Rais Magufuli kutoa orodha ya wakuu wapya wa mikoa Tanzania Bara na mmoja wao ni aliekuwa Mkuu wa wilaya ya kinondoni Paul Makonda kukabidhiwa Jiji kubwa kabisa Tanzania, Dar es Salaam . . .
Kutokana na uteuzi huo watumiaji wa mitandao yote ya kijamii wakahamisha mijadala yao kwenye uteuzi wa makonda na Wengi wakionesha kumpongeza kwa Uteuzi huo . . .
Rais Magufuli Anasemaga yeye sio mwanasiasa ila mimi nasema Magufuli ni mwanasiasa asiyejijua kama ni mwanasiasa . . .