Uteuzi wa Mwantumu Mahiza

Uteuzi wa Mwantumu Mahiza

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mama Mwantumu Bakari Mahiza,ameteuliwa kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shule ya Msingi Julius Kambarage Nyerere,uteuzi huu umeanza ramsi July 01,2018.
Mahiza anachukua nafasi ya aliyekuwa mwalimu mkuu wa shule hiyo Grace Lyimo ambaye ameondoka shuleni hapo.View attachment 817069
.......kaimu????
 
Ohoooooo!Nkajua Tangazo la Uteuzi lile linayosainiwaga Na Gerson Msigwa
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mama Mwantumu Bakari Mahiza,ameteuliwa kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shule ya Msingi Julius Kambarage Nyerere,uteuzi huu umeanza ramsi July 01,2018.
Mahiza anachukua nafasi ya aliyekuwa mwalimu mkuu wa shule hiyo Grace Lyimo ambaye ameondoka shuleni hapo.View attachment 817069
Alikuwa RC Tanga, kwake Mwakidira
 
Huyu mama kabla nyota yake haijang'arishwa na JK aliwahi kuongoza shule hiyo. Nafasi hiyo anaimudu saana maana mchapakazi hodari
 
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani,Mama Mwantumu Bakari Mahiza,ameteuliwa kuwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Shule ya Msingi Julius Kambarage Nyerere,uteuzi huu umeanza ramsi July 01,2018.
Mahiza anachukua nafasi ya aliyekuwa mwalimu mkuu wa shule hiyo Grace Lyimo ambaye ameondoka shuleni hapo.View attachment 817069
Safi sana yule mama aliyekuwepo aliiharibu sana ile shule shule ilikosa sifa wakati ilikuwa nzuri sana,waalimu wote wazuri walitimka wakenda shule mbali mbali uongozi ukawa umelala,wazazi wakaamisha watoto uongozi kimyaaaa leo shule ipo hoi ndio wanashtuka,sasa mjipange kutafuta wale waalimu wazuri walioondoka muwapandishie na mishahara warudi warudishe heshima ya hii shule,mama Mahiza namkubali hongera zake
 
Alikuwa mkuu wa shule hiyo tena kama sikosei mwanzilishi kabla hajanyakuliwa na JK kwenye vyeo vya kisiasa, kwa hiyo anarudi kuimarisha shule hiyo ya binafsi. Shule ilianza vzr sana miaka hiyo ya 90s lkn baada ya kuondoka yeye kiasi ilipoteza mwelekeo watu wakaaza kuikimbia taratibu.
Nilishindwa kuelewa kwanini Rweyemamu na Mzee Ulimwengu walisinzia kiasi kile yule mama akaharibu ile shule kiasi kile,wajipange upya warudishe hadhi ya shule
 
Hakuna raha kwenye maisha kama kufanya kazi unayoipenda!!!!

Haijalishi ni kwa muda gani...!!!!
 
Katika maisha kurudia kazi ya zamani wakati ulikua umepata nyadhifa kubwa serikalini ni jambo la ajabu na aibu kubwa sana. Kiufupi kafeli.
Muache arudi alikuwa anawatukana sana walimu huyo alivyokua naibu waziri wa elimu
 
Kuna msemo unasema Ng'ombe hata akikonda hawezi kuwa kama Mbuzi
 
Waooh! Kutoka kuwa Mkuu wa Mkoa mpaka kuwa mwalimu mkuu shule ya msingu.
Hii kwa mimi naiyona ni Demotion na siyo Promotion.
Hongera Mamaa..
Kwenye shughuli za kiutendaji zile za kuajiriwa kwa mujibu wa qualification na kuonyesha vyeti hiyo itakuwa ni DEMOTION lakini kwa hawa wanasiasa wanaoteuliwa bila vigezo vya wazi vinavyoonyesha kwamba majina pendekezwa yalikuwa 10 ila ameonekana huyu huyu anafaa (hivyo hiyo ni PROMOTION especially kama alikuwa benchi hata kama ni taasisi binafsi)
 
Back
Top Bottom