Uteuzi wa Makonda na hatma yake ndani ya Chama

Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
Tuache maneno mengi, nenda Mahakamani kathibitishe makosa yake.
 
Mhakamani ninakwendaje kwa mashtaka ya Jinai? Yangekuwa ya madai sawa ningekwenda. Ila kwa mujibu wa sheria za Tanzania ni Jamhuri ndiyo anajukumu la kufungua mashtaka ya jinai kupitia ofisi ya DPP.
 
Kelele ni nyingi na shahuku ni kubwa lakini maneno yangu ni machache;

[emoji419]Makonda hatakuwa na wakati mzuri wakati huu ambapo kundi la Msoga lina nguvu ndani ya CCM na Serikali. Kundi la Msoga ni kundi la Wazee wakongwe, wenye nguvu ndani ya CCM, na pia wenye majeraha waliyopatiwa wakati wa Magufuli.

Pia ni kundi lenye vijana wenye ndoto za kushika madaraka makubwa kuliko waliyonayo sasa, kupata/kupora fedha nyingi zaidi ya walizonazo sasa, na zaidi wanadharau kubwa kwa watu wanaowaona si wa kundi lao. Makonda atapaswa kurudia enzi zake za kulamba viatu vya kina Ridhiwani Kikwete, au awe mpole na kutojihusisha sana na mambo ya watu.

Ubabe, Kiburi na Jeuri zake hataweza kuziishi kwa sasa kwa kuwa yeye si kijana wa kundi hilo. Na zaidi hana mahusiano mazuri na kundi hilo lenye nguvu.

[emoji419]Rekodi yake ya kupora mali kwa wafanyabiashra, kuwadharau na kuwakandamiza watu wa chini yake - ambao hawakuwa na nguvu hata ya kulalamika enzi za Magufuli, inamuweka kwenye nafasi ya kuwa mtu wa kujitafakari sana kwa kila atua anayopiga.

Makonda aliwahi kumuonesha dharau hadharani Bw. Daniel Chongolo wakati yeye Makonda akiwa RC wa Dar es Salaam na Chongolo akiwa Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni.

[emoji419]Makonda ni mtoto wa kundi lililotengwa kisiasa wakati huu. Amerudishwa ili kupunguza uwezekano wa uasi ndani ya CCM lakini je, tasaidia kitu? Kundi maarufu la Wendazao, ambalo nguvu yake kubwa ni wingi wa kura za Mkutano Mkuu wa CCM, limekosa nguvu za kisiasa ndani ya CCM baada ya kundi la Msoga kushika hatamu.

Mabadiliko ya mara kwa mara kwenye baraza la Mawaziri yamezingatia makundi haya mawili; Msoga na Wendazao. Mara nyingi kundi la Msoga limeibuka kidedea, kwa kupewa wizara nyingi na nyeti.

Kwahiyo Makonda atakuwa akifanya kazi kama mwakilishi wa kundi la Wendazao, wakiongozwa na kundi hasimu la Msoga.

Hatatakiwa kwenda kinyume na Msoga ili aendelee kubaki kwenye hiyo nafasi, na hapo itampasa kufanya kazi kwa upole na adabu - kinyume na haiba yake ya kiburi na dharau.

Sisi kazi yetu ni kuchambua!
Nawasilisha
Dr. Chris Cyrilo.
Utabiri wa Dr Chris Cyrillo huenda ukatimia, naanza kuona mantiki ya thread hii
 
Makonda mitano tena
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
 
Kelele ni nyingi na shahuku ni kubwa lakini maneno yangu ni machache;

[emoji419]Makonda hatakuwa na wakati mzuri wakati huu ambapo kundi la Msoga lina nguvu ndani ya CCM na Serikali. Kundi la Msoga ni kundi la Wazee wakongwe, wenye nguvu ndani ya CCM, na pia wenye majeraha waliyopatiwa wakati wa Magufuli.

Pia ni kundi lenye vijana wenye ndoto za kushika madaraka makubwa kuliko waliyonayo sasa, kupata/kupora fedha nyingi zaidi ya walizonazo sasa, na zaidi wanadharau kubwa kwa watu wanaowaona si wa kundi lao. Makonda atapaswa kurudia enzi zake za kulamba viatu vya kina Ridhiwani Kikwete, au awe mpole na kutojihusisha sana na mambo ya watu.

Ubabe, Kiburi na Jeuri zake hataweza kuziishi kwa sasa kwa kuwa yeye si kijana wa kundi hilo. Na zaidi hana mahusiano mazuri na kundi hilo lenye nguvu.

[emoji419]Rekodi yake ya kupora mali kwa wafanyabiashra, kuwadharau na kuwakandamiza watu wa chini yake - ambao hawakuwa na nguvu hata ya kulalamika enzi za Magufuli, inamuweka kwenye nafasi ya kuwa mtu wa kujitafakari sana kwa kila atua anayopiga.

Makonda aliwahi kumuonesha dharau hadharani Bw. Daniel Chongolo wakati yeye Makonda akiwa RC wa Dar es Salaam na Chongolo akiwa Mkuu wa Wilaya wa Kinondoni.

[emoji419]Makonda ni mtoto wa kundi lililotengwa kisiasa wakati huu. Amerudishwa ili kupunguza uwezekano wa uasi ndani ya CCM lakini je, tasaidia kitu? Kundi maarufu la Wendazao, ambalo nguvu yake kubwa ni wingi wa kura za Mkutano Mkuu wa CCM, limekosa nguvu za kisiasa ndani ya CCM baada ya kundi la Msoga kushika hatamu.

Mabadiliko ya mara kwa mara kwenye baraza la Mawaziri yamezingatia makundi haya mawili; Msoga na Wendazao. Mara nyingi kundi la Msoga limeibuka kidedea, kwa kupewa wizara nyingi na nyeti.

Kwahiyo Makonda atakuwa akifanya kazi kama mwakilishi wa kundi la Wendazao, wakiongozwa na kundi hasimu la Msoga.

Hatatakiwa kwenda kinyume na Msoga ili aendelee kubaki kwenye hiyo nafasi, na hapo itampasa kufanya kazi kwa upole na adabu - kinyume na haiba yake ya kiburi na dharau.

Sisi kazi yetu ni kuchambua!
Nawasilisha
Dr. Chris Cyrilo.
Mwisho wa kundi Hilo ni mwaka huu huu.
 
Maovu yapi Mkuu?
Rais Samia amechanganyikiwa kwenye hili. Repercussions zake ni mbaya sana. Kuna methali inasema "adui mwombee njaa"

Hapa naona maadui wa Samia wamefanikiwa kumuombea NJAA. Makonda hakufaa kurudi kwenye utumishi wa chama wala Serikali bali alipaswa kuwa gerezani tu. Hii ni DHIHAKA kubwa kwa Watanzania

Ila iko siku Paul Makonda ataingia tu gerezani na kutumikia kifungo kwa maovu yake
 
Maovu yapi Mkuu?
Daud Bashite kuna kesi kama 10 ambazo ushahidi wa kumfungulia mashtaka uunatosheleza kama:
1. Kumteka na kumtesa Roma Mkatoliki
2. Kuvamia studio za Clouds
3. Kumuwezesha Afisa Usalama aliyemtishia bunduki Nape Nnauye
4. Kumteka Modewji
5. Kupora magari ya matajiri kama NAS, GBP na GSM
6. Kumuua Ben Saanane
7. Kumuua Azory Gwanda
8. Kumuua Akwilina Akweline
 
😎 na mwenye ushahidi namba moja ni ww?.
Achana na propaganda za wanasiasa, huwa zipo kuchafuana Sheikh. Siasa ni kama gangster's game yaani wins & loses na hapa namaanisha ukipoteza, mwenzio ana survive...

Ushahidi ?? Mbona wewe mpumbavu sana? Kwani ulikuwa wapi wakati Makonda anaingia studio za Clouds?

Kwani humu hujaziona clips za uovu wake? Haya nakupa hii link ya yeye kuingia studio za Clouds Media;
View: https://youtu.be/oDiB8Yqs3FQ?si=FJKHTN3_wqMxcFAz
 
Back
Top Bottom