Uteuzi wa Ma DC lini ili vituko vipungue?

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Mh Mkuu,habari za leo baba,

Pole sana na kazi,najua una nia nzuri sana sana na Taifa lako,siwezi kabisa kubeza juhudi zako,wanaoamini ni vioja hawana hoja,pole na safari Baba napenda kujua ni lini utamaliza uteuzi wa ma DC ili tupungukiwe vituko,vijana hawaambiliki kila kukicha ni vituko,Ma DC wakongwe nao kila siku radioni,TV na magazeti ili mradi uwaone hata kama wafanyayo ni vituko,watu shinikizo la damu lipo juu,wakurugenzi kwenye halmashauri na wakuu wa idara wamekosa ubunifu,kila saa ni vikao na utekelezaji zero,kamata kamata ndo usiskie,elimu bure inatutoa kamasi kwa amri zao

Baba chonde chonde,mateso ya kunywa chai kwa pipi yametutosha nakuomba sana umalize uteuzi tujue mbivu na mbichi

Karibu Tanga,ila usitustukize baba,maana hospitalini madaktari wakiskia vingora hawajui kama ni wagonjwa au wewe,tupe taarifa tujiandae baba,nakutakia siku njema
 
Hata yule mbunge wa kikurya aliyeangua kilio bungeni kusisitiza serikali isionyeshe live vikao vya bunge ni vituko vya kuutafuta uDC
 
OTE="maramia, post: 16196188, member: 305891"]Hata yule mbunge wa kikurya aliyeangua kilio bungeni kusisitiza serikali isionyeshe live vikao vya bunge ni vituko vya kuutafuta uDC[/QUOTE]
Pia niliwaza hivyo mkuu,maana vituko kila kona
 
~~~~>>DC wa Kinondoni kaamua kutoka na gwanda za Mgambo.....


~~~>>Hii yote ni ktk kutengeneza matukio ili aonekane ktk Media.....
 
Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni katika mawindo tofauti
42edc3c6c4e63a8ae014e9d89a00b1dc.jpg
b2b72a7ac2cb71e806f7a234f19a40dd.jpg
59a86f72e4dd5d0e43e0c39a8ff1cce8.jpg
 
Back
Top Bottom