Jamaa ana gundu sana. Fikiria jamaa katokea jamii pendwa na Kanda pendwa kapotezewa.Nilidhani Mayalla naye kala uteuzi!
Mayalla na wewe hamna tofautiNilidhani Mayalla naye kala uteuzi!
Kinacho mponza Mayalla ni lile swali siku ya kwanza alipo itwa kuwa Mayalla ni njaaJamaa ana gundu sana. Fikiria jamaa katokea jamii pendwa na Kanda pendwa kapotezewa. Lakini Jerry Muro from nowhere na cha kushtusha zaidi katokea jamii inayoogopwa na kutengwa lakini kahula.
There must be something. Huwezi juwa walikuwa wanagombea demu na Jiwe.
Avumilie tu kwa uzalendo wake kwa nchi yake kuna siku atakumbukwaJamaa ana gundu sana. Fikiria jamaa katokea jamii pendwa na Kanda pendwa kapotezewa. Lakini Jerry Muro from nowhere na cha kushtusha zaidi katokea jamii inayoogopwa na kutengwa lakini kahula.
There must be something. Huwezi juwa walikuwa wanagombea demu na Jiwe.
Hivi Pascal yupo duniani? simsikii kabisa ingawa hapa kwangu nilim-block. Bado mateuzi ni mengi atapata, msukuma mwenzangu. Lakini Magu kwa visasi lile swali la mamlaka unayapata wapi, linam-cost!Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi(CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandoko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.
Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
Kama wewe na Esther Matiko mlivyo wamoja!Mayalla na wewe hamna tofauti
Matiko yupo CCM na Mimi kamwe siwezi hata kugusa migwanda yenu ya laaanaKama wewe na Esther Matiko mlivyo wamoja!
Unakosea sana mkuu....andika jina lako kamili na namba ya simu ....muda si muda utaonekana maana speed yako ya uChawa iko poa sanaKama wewe na Esther Matiko mlivyo wamoja!
Njoo na jina pia namba ya simu tukupe hata uDAS maana speed yako ya Uchawa iko vizuriNilidhani Mayalla naye kala uteuzi!
Hapa unapata funzo kubwa mkuu mwanaume ni kupambana kiume upate shibe sio kulamba viatu na kuwapamba wanaume wenzako ili wakupe shibe jamaa atakuwa na nyota ya kunguni[emoji23] sio kwa kujipendekeza kule alafu wenzake wanapata teuzi yeye anaambulia patupu dailyJamaa ana gundu sana. Fikiria jamaa katokea jamii pendwa na Kanda pendwa kapotezewa...
Sasa mtu ana njaa unataka andike nini.Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi(CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandoko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.
Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?