Uteuzi wa Bananga kuwa Katibu mwenezi wa CCM DSM wasononesha Wafia Chama , wajipanga kumnyima ushirikiano

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,809
218,463
Screenshot_2023-07-29-15-58-29-1.jpg

Makada kadhaa wa ccm Mkoani Dar es Salaam , wameshangazwa na kuchukizwa na uteuzi wa Kada wa zamani wa Chadema , Ally Bananga kuwa Mwenezi wa Chama hicho Mkoani humo , makada hao wafia chama walidhani kama ni uteuzi basi wao ndio walipaswa kukumbukwa , kutokana na kutowahi kusaliti chama chao

Badala yake ameteuliwa aliyesaliti Chama na kukihujumu majukwaani , tena Wakuja ! jambo hili limewasononesha sana chawa waliodhani teuzi za DSM zitakuwa zao .

Mytake : CCM ina wenyewe , na hao wenyewe ndio wanaopanga safu ya uongozi , nyie wengine endeleeni kuvishwa fulana wakati wa uchaguzi .
 
View attachment 2702270

CCM ni Chama na Chama ni wanadamu au wanachama na Banaga akiwemo.
 
View attachment 2702270

Makada kadhaa wa ccm Mkoani Dar es Salaam , wameshangazwa na kuchukizwa na uteuzi wa Kada wa zamani wa Chadema , Ally Bananga kuwa Mwenezi wa Chama hicho Mkoani humo , makada hao wafia chama walidhani kama ni uteuzi basi wao ndio walipaswa kukumbukwa , kutokana na kutowahi kusaliti chama chao

Badala yake ameteuliwa aliyesaliti Chama na kukihujumu majukwaani , tena Wakuja ! jambo hili limewasononesha sana chawa waliodhani teuzi za DSM zitakuwa zao .

Mytake : CCM ina wenyewe , na hao wenyewe ndio wanaopanga safu ya uongozi , nyie wengine endeleeni kuvishwa fulana wakati wa uchaguzi .
CCM Kuna vichwa basi? Mikia tu!
 
Hakuna cha kushangaza hapo. Wengi kutoka nje wamekuwa wakipewa vyeo, ili wawe ni vivutio kwa wapinzani wengine, ili waasi waliko na kuhamiaCCM na kutarajia kupewa vyeo. Hao wafia chama, ni kama mke wa ndani, huna haja ya kumuhonga! Tayari unaye ndani!
Aiseeee !!
 
Duh!.
 
View attachment 2702270

Makada kadhaa wa ccm Mkoani Dar es Salaam , wameshangazwa na kuchukizwa na uteuzi wa Kada wa zamani wa Chadema , Ally Bananga kuwa Mwenezi wa Chama hicho Mkoani humo , makada hao wafia chama walidhani kama ni uteuzi basi wao ndio walipaswa kukumbukwa , kutokana na kutowahi kusaliti chama chao

Badala yake ameteuliwa aliyesaliti Chama na kukihujumu majukwaani , tena Wakuja ! jambo hili limewasononesha sana chawa waliodhani teuzi za DSM zitakuwa zao .

Mytake : CCM ina wenyewe , na hao wenyewe ndio wanaopanga safu ya uongozi , nyie wengine endeleeni kuvishwa fulana wakati wa uchaguzi .
TAFSIRI YAKE NI KWAMBA WAPINZANI WANA UWEZO WA KUONGOZA KULIKO WAFIA CHAMA
 
Back
Top Bottom