Uteuzi wa Bananga kuwa Katibu mwenezi wa CCM DSM wasononesha Wafia Chama , wajipanga kumnyima ushirikiano

Ally kuna siku nilikuwa nae maeneo ya Mbauda, Arusha bar moja inaitwa Lalago tukawa tunakula vitu nikamwambia kabisa "wewe ni mamluki". Alikasirika ila ndio hivyo tena ukweli upo wazi sasa.

Kwanza lijamaa lenyewe linalelewa na mwanamke na linaishi kwao hapo Mbauda jirani na Mama Mbauda.

Post in thread 'Yaliyojiri kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, Peter Kibatala anamkaanga Hawa Subira Mwaifunga' Yaliyojiri kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, Peter Kibatala anamkaanga Hawa Subira Mwaifunga
 
Noma sana !
 
View attachment 2702270

Makada kadhaa wa ccm Mkoani Dar es Salaam , wameshangazwa na kuchukizwa na uteuzi wa Kada wa zamani wa Chadema , Ally Bananga kuwa Mwenezi wa Chama hicho Mkoani humo , makada hao wafia chama walidhani kama ni uteuzi basi wao ndio walipaswa kukumbukwa , kutokana na kutowahi kusaliti chama chao

Badala yake ameteuliwa aliyesaliti Chama na kukihujumu majukwaani , tena Wakuja ! jambo hili limewasononesha sana chawa waliodhani teuzi za DSM zitakuwa zao .

Mytake : CCM ina wenyewe , na hao wenyewe ndio wanaopanga safu ya uongozi , nyie wengine endeleeni kuvishwa fulana wakati wa uchaguzi .
Kazi kweli kweli....Ccm sio chama cha siasa kwa sasa.
 
Hayakuhusu ya CCM kwa hiyo achana nayo
 
Bila shaka huyu Ally Bananga pengine ndiye Lucas mwashambwa au Kamanda Asiyechoka na hatimaye pambio zake zimesikika kwa malkia na kumlipa cheo hiki..
 
Ally kuna siku nilikuwa nae maeneo ya Mbauda, Arusha bar moja inaitwa Lalago tukawa tunakula vitu nikamwambia kabisa "wewe ni mamluki". Alikasirika ila ndio hivyo tena ukweli upo wazi sasa.

Kwanza lijamaa lenyewe linalelewa na mwanamke na linaishi kwao hapo Mbauda jirani na Mama Mbauda.

Post in thread 'Yaliyojiri kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, Peter Kibatala anamkaanga Hawa Subira Mwaifunga' Yaliyojiri kesi ya Halima Mdee na wenzake 18, Peter Kibatala anamkaanga Hawa Subira Mwaifunga
Punguza chuki boss.
 
Back
Top Bottom