Zito hili alilijua ndo maana hajaongea chochote. ACT nahisi @ kiongozi wake ni mwanachama hai wa ccm. Ni kakikosi kazi ka ccm maana huwezi kupewa ukuu wa mkoa bila kuwa kada wa chama na vikao vyote vya chama mkoa mkuu wa mkoa ni mjumbe kwa ataingia bila kuwa mwanachamaBaada ya yule Prof. kuwa katibu mkuu, na sasa Ana Ngwila, bila shaka itafuata zamu ya Zitto Kabwe. Hivyo Mh. Zitto Kabwe anaungana rasmi na waheshimiwa Lyatonga, Ahamadi Rashid, Lipumba, Lamwai, Zuberi Mtemvu, Shamte, nk katika siasa za Tanzania ambazo watoto wetu huko mbele watakuja kujisomea kwenye historia ya demokrasia Tanzania.
Upuuzi mtupu, ZZK anahusikaje na teuzi za magufuli? acheni siasa nyepesi za kusingizia watu majungu na ufedhuliBaada ya yule Prof. kuwa katibu mkuu, na sasa Ana Ngwila, bila shaka itafuata zamu ya Zitto Kabwe. Hivyo Mh. Zitto Kabwe anaungana rasmi na waheshimiwa Lyatonga, Ahamadi Rashid, Lipumba, Lamwai, Zuberi Mtemvu, Shamte, nk katika siasa za Tanzania ambazo watoto wetu huko mbele watakuja kujisomea kwenye historia ya demokrasia Tanzania.
Tuliambiwa vyeo vya RC, DC, ni vya kisiasa tofauti na ubunge.aisee kuna watanzania wenzetu bora wauzwe teba utumwani!! kwa hiyo mbatia alikuwa CCM??
hamjui siasa nyie
Hata wewe unaweza kuteuliwa kuwa DC au RCACT Wazalendo ni nyumba ndogo ya CCM
Nadhani ni yule mama aliyegombea Urais!!!?Who is Ana Ngwila?
Act wazalendo inazidi kuimarika lakini CCM inaimarika zaidiBaada ya yule Prof. kuwa katibu mkuu, na sasa Ana Ngwila, bila shaka itafuata zamu ya Zitto Kabwe. Hivyo Mh. Zitto Kabwe anaungana rasmi na waheshimiwa Lyatonga, Ahamadi Rashid, Lipumba, Lamwai, Zuberi Mtemvu, Shamte, nk katika siasa za Tanzania ambazo watoto wetu huko mbele watakuja kujisomea kwenye historia ya demokrasia Tanzania.
Tuliambiwa vyeo vya RC, DC, ni vya kisiasa tofauti na ubunge.
wivu unawasumbueniBaada ya yule Prof. kuwa katibu mkuu, na sasa Anna Mgwira, bila shaka itafuata zamu ya Zitto Kabwe. Hivyo Mh. Zitto Kabwe anaungana rasmi na waheshimiwa Lyatonga, Ahamadi Rashid, Lipumba, Lamwai, Zuberi Mtemvu, Shamte, nk katika siasa za Tanzania ambazo watoto wetu huko mbele watakuja kujisomea kwenye historia ya demokrasia Tanzania.
Sioni tatizo kwa Zitto kwenda kokote au kukubali uteuzi wowote atakaopewa na JPM as long as ni maisha yake binafsi na aliamua mwenyewe kuwa mwanasiasa. Wakati mwingine tuheshimu utashi wa mtu...Baada ya yule Prof. kuwa katibu mkuu, na sasa Anna Mgwira, bila shaka itafuata zamu ya Zitto Kabwe. Hivyo Mh. Zitto Kabwe anaungana rasmi na waheshimiwa Lyatonga, Ahamadi Rashid, Lipumba, Lamwai, Zuberi Mtemvu, Shamte, nk katika siasa za Tanzania ambazo watoto wetu huko mbele watakuja kujisomea kwenye historia ya demokrasia Tanzania.