UTEUZI: Maj Gen Zawadi Madawili mwanamke wa kwanza!

Nidhamu ni suala la msingi katika jeshi letu, bila shaka mtaniunga mkono kwamba sasa hivi nidhamu ya jeshi letu inashuka kila kukicha watakao bisha nitaendelea kuwabisha. Sababu hasa ya kushuka maadili au niseme tena nidhamu hiyo ni uongozi mbovu. Mfano wa kushuka kwa nidhamu hiyo ni pale utakapoona askari wa JWTZ kujihusisha na ujambazi, askari kuwashambulia raia, askari kulewa wakiwa katika sare, ufuska nk. Vitu hivi ni kinyume na malezi ya jeshi letu. Sasa ikiwa unapata makamanda wachache wanaoonyesha mfano mzuri kutekeleza na kusimamia haya pamoja na majukumu mengine basi ni muhimu kuwaenzi hao wachache ili hatimae jeshi letu liwe na tabia moja.
Hamna nidhamu jeshini leo hii! ni ule ule upole wa waTz askari wanalalamikia chini ya miti tu hawana wa kuwasemea bora raia wana wabunge waliolala! Kwa askari anatakiwa kupeleka yote kwa kamanda wake unafikiri kamanda fisadi atafanya nini? wanatumiwa hadi kufanya kazi binafsi nyumbani kwa wakubwa wao.

Ile nyumaba pale Victoria ya Retied C of S Lt Gen Ganhu walikuwa wanapelekwa kila siku kujenga na hata magari ya jeshi yalitumika kuleta mchanga, mawe etc
 
Its embrassing kuwa zaidi ya miaka 40 ya uhuru bado tuna mambo ya FIRST this first that, wanawake waliachwa nyuma kila nyanja na kumpandisha cheo mwanamke mmoja siyo dawa

dawa ni kuhakikisha kuwa wanalipwa sawa na wanaume na representation yao kila nyanja iongezwe..kwa hili ni too little too late

anyway its a good step
Maono mazuri. Now tuna makamu wa raisi mwanamke! What a step
 
Back
Top Bottom