Utetezi wa Zembwela baada ya fukuto la bandari kuzidi

Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia yake iliyomzunguka kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na uwepo wa sakata la DP World linaloendelea kushika kasi hapa nchini kwasasa

Akizungumza kwenye Kipindi hicho leo, Jumanne Julai 25.2023 Zembwela ambaye hivi karibuni aliambatana na Watangazaji wenzake Maulidi Kitenge na Gerald Hando kufanya ziara ya kutembelea nchini Dubai kwa lengo la kujionea jinsi kampuni ya DP World inayotajwa kuingia mkataba wa makubaliano ya uwekezaji Bandarini baina yake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari

Amesema walichokifanya Watangazaji hao ni kuonesha ubunifu wa kuandaa Kipindi chao ili kutengeneza maudhui yatakayowavutia watu wengi zaidi kuwafuatilia kwakuwa uendeshaji wa vipindi na vyombo vya Habari kwasasa unahitaji ubunifu mkubwa ili 'kuteka' watu, jambo ambalo ni tofauti na vile ambavyo baadhi ya watu wameitafsiri safari hiyo

Ametolea mfano uwepo wa baadhi ya makampuni ambayo yaliwahi kutajwa kufanya uwekezaji hapa nchini huko nyuma lakini baadaye makampuni hayo yalikuja kugundulika kuwa ni hewa na yaliisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha hivyo moja ya jambo walilolenga kulifanya kwenye ziara hiyo ni pamoja na kwenda kujionea na kujiridhisha kama kampuni ya DP World ipo na kama inajishughulisha na masuala ya bandari au la, jambo ambalo amethibitisha kuwa wamejionea na kujiridhisha baada ya kuunganishwa na baadhi ya Watanzania wanaoishi Dubai

"...kuna wale jamaa ambao wanamiliki klabu ya Kikapu kule wakatusaidia kutuunganisha, kwahiyo tukaenda tukaiona DP, kweli tukakuta wana Ofisi na sio richmond style, tukakuta kweli wanafanya shughuli za Bandari, tukatembelea Bandari yao, ila walikataa kuzungumzia hiki kinachoitwa makubaliano sijuwi mkataba kwasababu sio level yetu na wale tuliowakuta Ofisini sio level yao..."

Hapa ndipo alipoharibu kabisa

"...return yake ilikuwa Watanzania wanataka sisi ambao hatujuwi vifungu vya sheria tukifika pale DP tuwaulize kwenye mkataba pale kifungu cha 3C, kifungu kidogo cha 4D ibara ya 5 mmesema mtachukua Bandari kwa upana gani..., matokeo yake Mimi, walionizunguka, Wazazi wangu, Viungo vya mwili vya Wazazi wangu na mimi mwenyewe, wote tuliingia katika vinywa na maandishi ya Watanzania na nadhani mpaka sasa bado wanaendelea kututusi, kwahiyo njia pekee ambayo mimi niliichukua ni hiyo ya kukaa kimya".View attachment 2699247

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante Mkuu kuiweka hapa.
Kwanza utangazaji alisomea wapi huyu zuzulela.
Na bado tutamsumbua sana asijifanye anajua sana.
Halafu kuna mwingine anasema tusikubali kugawanyika mwingine anasema eti tusimwadhibu mtu kwa mambo madogo madogo…. Kutuuzia Uriah I wetu Tuendelee e njaa zenu??? Mnachekesha sana.. This time around hatutanii

Iko hivi tumeshagawanyika tuendelee kugawanyika tutawakosoa tunavyotaka hatuhurumii mtoto wa mtu.
Mtalipa gharama zaidi ya gharama
 
Zembwela abakie kwenye kuhamasisha jamii istaarabike hususan usafi wa mazingira na maadili kwa watoto wanaokua.

Haya musuala ya siasa na sheria na ya kitaalam achukue tahadhari kubwa. Mwanasiasa anakutumia kisha anakutosa.

Hajitambui bado
 
Bado hajasema yaani mpaka aseme.
 
hivi unaanzaje kumchukulia serious mtu kama zembwela, kwanza hata ile elimu tu ya kawaida ya kujitambua hana, nadhani umefika wakati ile sheria ya habari kuhusu elimu angalau hata ya diploma ianze kufanya kazi, haiingii akilini vitu serious wanapewa vilaza na failures kuvidadavua kwa wananchi. Uache kumsikilia Prof. Shivji na wengineo ukaanze kuhangaika na wasanii chawa wachumia tumbo. U cant be serious.
 
Wengi wanaenda kusomea journalism Tanzania ni form four failures ama chini ya hapo! Na wamiliki wa hivyo vyuo pamoja na walimu wao wote ni humohumo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia yake iliyomzunguka kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na uwepo wa sakata la DP World linaloendelea kushika kasi hapa nchini kwasasa

Akizungumza kwenye Kipindi hicho leo, Jumanne Julai 25.2023 Zembwela ambaye hivi karibuni aliambatana na Watangazaji wenzake Maulidi Kitenge na Gerald Hando kufanya ziara ya kutembelea nchini Dubai kwa lengo la kujionea jinsi kampuni ya DP World inayotajwa kuingia mkataba wa makubaliano ya uwekezaji Bandarini baina yake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari

Amesema walichokifanya Watangazaji hao ni kuonesha ubunifu wa kuandaa Kipindi chao ili kutengeneza maudhui yatakayowavutia watu wengi zaidi kuwafuatilia kwakuwa uendeshaji wa vipindi na vyombo vya Habari kwasasa unahitaji ubunifu mkubwa ili 'kuteka' watu, jambo ambalo ni tofauti na vile ambavyo baadhi ya watu wameitafsiri safari hiyo

Ametolea mfano uwepo wa baadhi ya makampuni ambayo yaliwahi kutajwa kufanya uwekezaji hapa nchini huko nyuma lakini baadaye makampuni hayo yalikuja kugundulika kuwa ni hewa na yaliisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha hivyo moja ya jambo walilolenga kulifanya kwenye ziara hiyo ni pamoja na kwenda kujionea na kujiridhisha kama kampuni ya DP World ipo na kama inajishughulisha na masuala ya bandari au la, jambo ambalo amethibitisha kuwa wamejionea na kujiridhisha baada ya kuunganishwa na baadhi ya Watanzania wanaoishi Dubai

"...kuna wale jamaa ambao wanamiliki klabu ya Kikapu kule wakatusaidia kutuunganisha, kwahiyo tukaenda tukaiona DP, kweli tukakuta wana Ofisi na sio richmond style, tukakuta kweli wanafanya shughuli za Bandari, tukatembelea Bandari yao, ila walikataa kuzungumzia hiki kinachoitwa makubaliano sijuwi mkataba kwasababu sio level yetu na wale tuliowakuta Ofisini sio level yao..."

Hapa ndipo alipoharibu kabisa

"...return yake ilikuwa Watanzania wanataka sisi ambao hatujuwi vifungu vya sheria tukifika pale DP tuwaulize kwenye mkataba pale kifungu cha 3C, kifungu kidogo cha 4D ibara ya 5 mmesema mtachukua Bandari kwa upana gani..., matokeo yake Mimi, walionizunguka, Wazazi wangu, Viungo vya mwili vya Wazazi wangu na mimi mwenyewe, wote tuliingia katika vinywa na maandishi ya Watanzania na nadhani mpaka sasa bado wanaendelea kututusi, kwahiyo njia pekee ambayo mimi niliichukua ni hiyo ya kukaa kimya".View attachment 2699247

Sent using Jamii Forums mobile app
Alifikiri haya nia maigizo ya mizengwe?! Hii inagusa uhai na uchumi wa watanzania waliopo, waliofariki, na watakao zaliwa.
 
Huyo Mpumbavu tu na wenzake, Asitufanye Watanzania wote Mbugila Mbugila.

Watapike Milungula walyopewa kupigia chapuo DPW
 
Asante Mkuu kuiweka hapa.
Kwanza utangazaji alisomea wapi huyu zuzulela.
Na bado tutamsumbua sana asijifanye anajua sana.
Halafu kuna mwingine anasema tusikubali kugawanyika mwingine anasema eti tusimwadhibu mtu kwa mambo madogo madogo…. Kutuuzia Uriah I wetu Tuendelee e njaa zenu??? Mnachekesha sana.. This time around hatutanii

Iko hivi tumeshagawanyika tuendelee kugawanyika tutawakosoa tunavyotaka hatuhurumii mtoto wa mtu.
Mtalipa gharama zaidi ya gharama
Nimependa hapo kwanza utangazaji kasomea wapi ? Binafsi nahitaji nami kujua
 
Mtangazaji wa Kipindi cha Good morning kinachorushwa kwenye kituo cha Wasafi FM anayetambulika kwa jina maarufu la Zembwela ameelezea masikitiko yake kufuatia matusi na maneno yasiyokuwa ya kiungwana anayoshambuliwa yeye binafsi na familia yake iliyomzunguka kwa kile kinachodaiwa kusababishwa na uwepo wa sakata la DP World linaloendelea kushika kasi hapa nchini kwasasa

Akizungumza kwenye Kipindi hicho leo, Jumanne Julai 25.2023 Zembwela ambaye hivi karibuni aliambatana na Watangazaji wenzake Maulidi Kitenge na Gerald Hando kufanya ziara ya kutembelea nchini Dubai kwa lengo la kujionea jinsi kampuni ya DP World inayotajwa kuingia mkataba wa makubaliano ya uwekezaji Bandarini baina yake na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia mamlaka ya usimamizi wa Bandari

Amesema walichokifanya Watangazaji hao ni kuonesha ubunifu wa kuandaa Kipindi chao ili kutengeneza maudhui yatakayowavutia watu wengi zaidi kuwafuatilia kwakuwa uendeshaji wa vipindi na vyombo vya Habari kwasasa unahitaji ubunifu mkubwa ili 'kuteka' watu, jambo ambalo ni tofauti na vile ambavyo baadhi ya watu wameitafsiri safari hiyo

Ametolea mfano uwepo wa baadhi ya makampuni ambayo yaliwahi kutajwa kufanya uwekezaji hapa nchini huko nyuma lakini baadaye makampuni hayo yalikuja kugundulika kuwa ni hewa na yaliisababishia taifa hasara ya mabilioni ya fedha hivyo moja ya jambo walilolenga kulifanya kwenye ziara hiyo ni pamoja na kwenda kujionea na kujiridhisha kama kampuni ya DP World ipo na kama inajishughulisha na masuala ya bandari au la, jambo ambalo amethibitisha kuwa wamejionea na kujiridhisha baada ya kuunganishwa na baadhi ya Watanzania wanaoishi Dubai

"...kuna wale jamaa ambao wanamiliki klabu ya Kikapu kule wakatusaidia kutuunganisha, kwahiyo tukaenda tukaiona DP, kweli tukakuta wana Ofisi na sio richmond style, tukakuta kweli wanafanya shughuli za Bandari, tukatembelea Bandari yao, ila walikataa kuzungumzia hiki kinachoitwa makubaliano sijuwi mkataba kwasababu sio level yetu na wale tuliowakuta Ofisini sio level yao..."

Hapa ndipo alipoharibu kabisa

"...return yake ilikuwa Watanzania wanataka sisi ambao hatujuwi vifungu vya sheria tukifika pale DP tuwaulize kwenye mkataba pale kifungu cha 3C, kifungu kidogo cha 4D ibara ya 5 mmesema mtachukua Bandari kwa upana gani..., matokeo yake Mimi, walionizunguka, Wazazi wangu, Viungo vya mwili vya Wazazi wangu na mimi mwenyewe, wote tuliingia katika vinywa na maandishi ya Watanzania na nadhani mpaka sasa bado wanaendelea kututusi, kwahiyo njia pekee ambayo mimi niliichukua ni hiyo ya kukaa kimya".View attachment 2699247

Sent using Jamii Forums mobile app
Bora angelikaa kimya tu
 
Wapuuzi sana hawawezi kuwa wapuuzi nusu, mpuuzi ni mpuuzi TU. Hakuna namna nyingine waache ujinga ujinga kwenye masuala serious kama haya.
 
Haya yote yanatokea ni yaleyale ya nchi yetu kufeli Kwa kila jambo,Tz mtu akiwa maarufu Kwa Bongo movies, comedy,music basi anaonekana anaweza kuwa mtangazaji na mchambuzi wa masuala ya kijamii na siasa........swebe,Masanja,Mpoki,Baba Levo, Idris Sultan......hao wote sidhani kama wanahata mafunzo ya cheti ya uandishi na utangazaji..........ndiyo maana siku hizi unaweza ukasikia maneno ya hovyo hewani unajiuliza hivi kuna mtu msimamizi wa contents kweli? Mwakyembe alikuja na utaratibu wa waandishi kuwa na elimu sijui iliishia wapi......inasikitisha
 
Back
Top Bottom