Utetezi wa Gazeti la Raia Mwema kabla ya kufungiwa

Hiii Mijitu ukiona inavyoshupaza mishingo utadhani inafikiria au inafanya mambo ya maana kwa ajili ya nchi... ujinga ujinga tu...

Hizo habari za Raia mwema ni za kawaida kupita maelezo, hivi huyo Msigwa alikuwepo kipindi cha Kikwete akaona MWANAHALISI lilivyokuwa linachapisha nyundo?

too low for the country..
 
Serikali ya CCM kiukweli kuna watu ni MaBoga kichwani.

Utetezi huo, bado unafungia chombo cha habari?

Ndio watanzania wanajua, Hamza alikua Kada wa CCM na amekipigania chama kwa nguvu zake, pesa zake.

Wakubali tuu kua Chama kina akina Hamza wengi tu ila tofauti yao ni aina ya ugaidi... Wengine wala rushwaa, wapiga madili, wengine wababe, wengine Wana biashara haramu za magendo. Wengine madawa, mafisadi, wanaoneaji.

Mimi huwa najiuliza, Vyombo vya Dola vinaitumia CCM au CCM ndio inaitumia vyombo vya dola??

I wish i could be "Vyombo vya dola"..CCM WANGETOKA MADARAKANI.
 
Walivyo wajinga saiz wanarekodi mavideo ya utalii

Hawajui kua, KUMINYA DEMOKRASIA, KUUMIZA WAPINZANI, NDIP KAA LINALOZUIA WATALII KUJA.

Mmarekani akishasema " Tunawaasa Raia wetu kua makini kutembelea Tanzania.

Imeisha hiyo!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…