Utetezi wa Gazeti la Raia Mwema kabla ya kufungiwa

fimboyaasali

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
4,175
2,000
Nimeona Gerson Msigwa ameposti clip anasonga ugali kama alivyoita nguna nikajua huyu ni mchumia tumbo! Anaangalia sana tumbo lake na hii imekuwa ni kasoro kubwa sana Serikali kujaza Vila.za badala ya watu wenye ueledi!
Kwa mtu aliyesoma vizuri na anayejua sheria vizuri, kwa utetezi wa Gazeti la Raia Mwema inabidi Serikali iwalipe na si kuwafungia ama Serikali ndo ingejifungia kwa kukosa watu wenye ueledi wa kuisemea!
Hilo gazeti lina nia ovu na hiyo adhabu ni haki yao,kwani ukisema hamza ni hatari kuna ubaya gani?

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 

Trillion

JF-Expert Member
Apr 24, 2018
2,348
2,000
MaCCM yametaka kusikia utetezi, wakati kifua cha kuvumilia ukweli mchungu hawana.😄😀😄😀

CD77A28B-EA75-4443-931E-52AEDE1D0F0D.jpeg


AEEA7035-4582-4732-9702-7CCFC8939C8A.jpeg
 

Lambardi

JF-Expert Member
Feb 7, 2008
12,226
2,000
Msigwa anapitiliza sasa anajisahqu aana huyu kwanza uwezo wake mdogo sanaa...kubebana huku acheni tuu
 

Janja weed

JF-Expert Member
Nov 20, 2020
1,202
2,000
Hahaaaa watu wanaojiamini na mambo yao hata ukiwatishia na ukurupukaji wa huko Lumumba wala hawatishi watu wanaojielewa, jamaa anapewa mbinu zile zile za Abasi ambaye alikua anapigiwa simu na mwendazake kumfundisha nini afanye, Msigwa ni Debe Tupu ndiomaana kabla ya lolote lazima awasiliane na Abasi na Chongolo ili wajue wanatokaje
 

Bubu Msemaovyo

JF-Expert Member
May 9, 2007
3,770
2,000

mutup

Senior Member
Jul 28, 2021
163
250
Hebu someni wenyewe utetezi na adhabu ndio utajua kuwa watu walikuwa na adhabu tayari kabla ya utetezi.

Tanzania bana End justify means badala ya means kujustify end

Pia soma: Thread 'Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30' Gazeti la Raia Mwema lafungiwa kwa siku 30
View attachment 1925481 View attachment 1925482 View attachment 1925484 View attachment 1925485
utetezi unaridhisha
bado tu wa maumivu 17,
maana mama alitusemea watanzania tumekubali tozo, alafu serikali inaona 'raia mwema' inasema tumepata maumivu
kweli kazi ipo, sijui ingeandikwa furaha 17 tunazo zihusudu labda wangepewa tunzo 😆 😆
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom