Utetezi wa Chenge Mahakamani | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Utetezi wa Chenge Mahakamani

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mjenda Chilo, Jul 22, 2011.

 1. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Wanaforum, watu wameshamwaga mboga sasa wakati wa kumwaga ugali ugali umefika. Kama tujuavyo Hosea ameahidi Chenge kupelekwa mahakamani baada ya DPP kukamilisha mchakato wa file. sipati picha jinsi kesi hii itakavyokuwa rahisi kwa Chenge. Yaani kwa TZ yetu ya leo, mtu ambaye amekuwa Mwanasheria mkuu wa serikali na Waziri kwa miaka lukuki yet ni kati ya wasomi wachache wa sheria wa kwanza akashindwa kujustify jinsi alivyopata hiyo hela kabilioni moja na ushee tu, mbona nachoka! Huyu jamaa kwa hesabu za karibu makusanyo yake ya posho halali ambazo kwa serikali yetu double payments zimekithiri ni ngumu sana kumbana. Fikiria Waziri akienda Mwanza kikazi si anapewa allowances, anazitumia wapi? wakati kila kitu anaandaliwa? Billion moja kwa waaziri bongo ni hela ndogo saana, na ndo maana Chenge alisema ni visenti tu, hiyo ni kweli kabisa, kama kuna mtu anadata za kupinga hili aweke mezani. Hapa hamna kesi yeyote, wasiwasi wangu labda ni umri tu ndo utamnyima fursa ya kurudi kwenye chart. Nafikiri pindi itakapofika wakati wa chenge wa kutoa ushahidi ndo tutajua kwanini watu wanauana kugombea ubunge na kuteuliwa uwaziri na inawezekana baada ya hapo wote tukaenda vijijini kwetu kuanza kuangalia jinsi gani ya kujiunga na ujasiriamali ulipao kupita maelezo. Mtaniambia.
   
 2. J

  Jenifa JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  kama ni posho lazima aonyeshe hizo pesa zilivyohamishwa kutoka point a kwend b.

  ukifuata pesa tu utagundua kama ni mauzo ya ngómbe au rushwa. huo sio utetezi kabisa.
   
 3. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Elewa kwanza halafu ndo ufiche. Issue hapa ni source ya pesa pekee. Hata kwenye kibuyu chumbani kwako unaweza kuhifadhi pesa ila unashauriwa kuweka benki kwa usalama zaidi. Kuweka pesa nje ya nchi kwa taarifa yako pia sio kosa. Where did u get the money ndo isue. Kwa taarifa tu watu kibao wameshaulizwa hii nyumba, magari etc umezipata wapi wkt mshahara ni Tgs F, unaonyesha payment voucher za posho, safari, mikopo nk na biashara inaishiaga hapo. My point ni kwamba through Chenge's issue ndo tutajua how can these guys get, hizo rushwa ni mabilioni, si utaniambia? Sijui kama umenilewa ndugu. Ni mawazo tu
   
 4. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tutajua kwamba ziliwekwa kidogokidogo au kwa mara moja? Njia ya mwongo ni fupi siku zote! Acha aje kusema na yasiyokuwepo!
   
 5. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Sorry umesema nani wakufikishwa mahakamani?.Ni mahakama yepi unayozungumziwa huyu mtuhumiwa apelekwe ni ile ya Wananchi au zile kiutaratibu unaofahamika kwa Wanajamii.Manake Mahakama sahihi ni Mahakama ya Umma,ila akipelekwa Mahakama za utaratibu Watanzani itakuwa imekula kwao,kwa kuwa Mtuhumiwa anaijua Mahakama ya Tanzania nje ndani na wengi wanayoiongoza idara hiyo ni zao lake wakti wa utawala wake akiwa mwanasheria Mkuu wa Serikali
   
 6. ALLEX

  ALLEX JF-Expert Member

  #6
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 2,046
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  nadhani tusisahau kuna za $ 600,000 zilielekezwa kwa mshirika
   
 7. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #7
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Umeleta mada na kujijibu maana na utetezi tayari now unataka sisi tuseme nini ?
   
 8. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #8
  Jul 22, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Hoja yako haina uzito kwa maana kwamba pesa hizo ziliingia kwenye account na kuhamishiwa bank nyingine kwa wakati mmoja, na kwa maneno mengine pesa hiyo ni kutoka source moja hilo ndilo swali la kujiuliza. Hakuna anayemtuhumu Chenge kwenye account zake za hapa Tanzania ambako amekuwa akiwekeza tangu aanze kibarua, hili la ulaya linamtia kitanzi, vinginevyo usanii wao wa kuzoeleka ili kulindana.
   
 9. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #9
  Jul 22, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 443
  Trophy Points: 180
  Hivi issue ni vyanzo vya mapato ya Chenge au kesi ya rada? Nijuzeni wakuu maana napata mashaka sasa.
   
 10. H

  Haki Yetu Senior Member

  #10
  Jul 22, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 162
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kitu kingine muhimu cha kujiuliza ni aina ya mashtaka atakayofunguliwa. Hao washtaki wenyewe kwanza walisema hawana ushahidi. Sikumbuki ni lini walituambia kuwa wamepata huo ushahidi.

  Isije kuwa AC ndio anajitayarishia hati ya mashtaka yake. Kwani wameona hoja ya kusema ushahidi hawana imekuwa haina uzito. Sasa wameamua wacheze filamu ya kumfikisha mahakamani ili aende akaishinde kesi Jamhuri. Kwani suala la kumsafisha limekua likigonga ukuta kila mara. Kuainisha vyanzo vya fedha hizo sioni kama ni tatizo ukiangalia aina ya washtaki.

  Sina imani na washtaki wenyewe kabisa kutokana na tabia walizozionyesha mwanzo.
   
 11. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #11
  Jul 22, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Pure politics is being played hapa .Hakuna kitu hata kimoja hapa .Kama huamini ngojea utaona .
   
 12. mmbangifingi

  mmbangifingi JF-Expert Member

  #12
  Jul 22, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 2,855
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Inshu wanataka kuichezesha kimtindo. hawampeleki kwa "radar"deal bali utata wa pesa anazomiliki ambazo naamini (being a lawyer) and longly been in a system ataruka tu kama Nalaila Kiula
   
Loading...