IsangulaKG JF-Expert Member Joined Oct 14, 2010 Posts 706 Reaction score 386 Oct 15, 2011 #1 Source: http://sautizetutz.blogspot.com/2011/10/nyerere-nakulilia.htmlhttps://www.facebook.com/groups/sautizetutz/ NYERERE NAKULILIA! Nyerere unanisikia? Machozi nakulilia Nchi ulopigania Uhuru Kutuachia. Nchi ulopigania Ukajenga Historia Vigogo ukawachia Tumebaki tukilia Ufisadi, umezidia Na uchafu kupindukia Mali wajilimbikia Mafukara tunalia Mafukara tunalia Twaililia Tanzania Nini wanafurahia? Kama wengi tunalia? Kwa mbebwe,uongo pia Bungeni wakaingia Nini wametufanyia? Kama vile si raia! Mikataba kusainia As if hawana nia Sisi kutusaidia Nyerere nakulilia Kuna Haja Tanzania Kutafuta zote njia Fisadi, wababe pia Kila njia kutumia Kila njia kutumia Siyo tu kulialia Haki yetu kutumia Kuichange Tanzania!
Source: http://sautizetutz.blogspot.com/2011/10/nyerere-nakulilia.htmlhttps://www.facebook.com/groups/sautizetutz/ NYERERE NAKULILIA! Nyerere unanisikia? Machozi nakulilia Nchi ulopigania Uhuru Kutuachia. Nchi ulopigania Ukajenga Historia Vigogo ukawachia Tumebaki tukilia Ufisadi, umezidia Na uchafu kupindukia Mali wajilimbikia Mafukara tunalia Mafukara tunalia Twaililia Tanzania Nini wanafurahia? Kama wengi tunalia? Kwa mbebwe,uongo pia Bungeni wakaingia Nini wametufanyia? Kama vile si raia! Mikataba kusainia As if hawana nia Sisi kutusaidia Nyerere nakulilia Kuna Haja Tanzania Kutafuta zote njia Fisadi, wababe pia Kila njia kutumia Kila njia kutumia Siyo tu kulialia Haki yetu kutumia Kuichange Tanzania!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,866 Reaction score 24,985 Oct 15, 2011 #2 utenzi mzuri na wenye kugusa hisia,asante.
IsangulaKG JF-Expert Member Joined Oct 14, 2010 Posts 706 Reaction score 386 Oct 15, 2011 Thread starter #3 Yap, mwandishi kajitahidi