Utengenezaji wa chakula cha kuku

Utengenezaji wa chakula cha kuku

Queen___

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
214
Reaction score
224
Habari wana Jf....
CHAKULA CHA KUKU

MALIGHAFI
1.MAHINDI YALIYOPARAZWA KILO 25
2.PUMBA YA MAHINDI KILO 10.
3.MASHUDU YA PAMBA KILO 5
4.MASHUDU YA ALIZETI KILO 5
5.DAGAA KILO 5
6. CHOKAA KILO 1
7.CHUMVI KILO 1
8.MIFUPA KILO 1
9. PRE-MIX NUSU KILO
10. DAMU KILO 5

JINSI YA KUTENGENEZA
Mwaga malighafi zako barazani au chumba chenye sakafu safi kisha changanya zote hadi zichanganyike vizuri.
Paki kwenye vifungashio kwa ajili ya kuuza. Au tumia kwa matumizi binafsi

-wape kuku mara tatu kwa siku

NEXT
-UTENGENEZAJI WA KEKI

Asante...
-Queen Chagga.
 
Asante sana. Ila hiyo mara 3 kwa siku kwa kiasi gani kwa kuku 100?
 
Habari wana Jf....
CHAKULA CHA KUKU

MALIGHAFI
1.MAHINDI YALIYOPARAZWA KILO 25
2.PUMBA YA MAHINDI KILO 10.
3.MASHUDU YA PAMBA KILO 5
4.MASHUDU YA ALIZETI KILO 5
5.DAGAA KILO 5
6. CHOKAA KILO 1
7.CHUMVI KILO 1
8.MIFUPA KILO 1
9. PRE-MIX NUSU KILO
10. DAMU KILO 5

JINSI YA KUTENGENEZA
Mwaga malighafi zako barazani au chumba chenye sakafu safi kisha changanya zote hadi zichanganyike vizuri.
Paki kwenye vifungashio kwa ajili ya kuuza. Au tumia kwa matumizi binafsi

-wape kuku mara tatu kwa siku

NEXT
-UTENGENEZAJI WA KEKI

Asante...
-Queen Chagga.
Nashukuru sana, ila apo kwenye dam umeniacha kidogo! Damu kilo tano inakuwaje hiyo?
 
Haijalishi hata kama unao wawili wape chakula asubuhi. Mchana na jion kabla ya giza (kama huwawashii taa)
Hiyo sikubaliani nayo. Mara 3 kiaje? Kwani vidonge hivyo? Inategemea na vyombo unavyotumia. Kama vikubwa vinabeba chakula kingi, watakula mpaka watabakisha kwa siku nzima.
 
Kinachotakiwa hufahamu uwezo kwa kuku kula kwa siku in terms of kg, g or volume.
 
Hiyo sikubaliani nayo. Mara 3 kiaje? Kwani vidonge hivyo? Inategemea na vyombo unavyotumia. Kama vikubwa vinabeba chakula kingi, watakula mpaka watabakisha kwa siku nzima.
Kupata kuku bora ni lazima kuwalea katika hali ya usafi. Kama unajua kuku wako wanakula debe kwa siku wawekee sado kila kinapoisha unaongeza tena na tena.
Usafi ni muhimu sana ili kupata kuku bora na wenye afya.
 
Habari wana Jf....
CHAKULA CHA KUKU

MALIGHAFI
1.MAHINDI YALIYOPARAZWA KILO 25
2.PUMBA YA MAHINDI KILO 10.
3.MASHUDU YA PAMBA KILO 5
4.MASHUDU YA ALIZETI KILO 5
5.DAGAA KILO 5
6. CHOKAA KILO 1
7.CHUMVI KILO 1
8.MIFUPA KILO 1
9. PRE-MIX NUSU KILO
10. DAMU KILO 5

JINSI YA KUTENGENEZA
Mwaga malighafi zako barazani au chumba chenye sakafu safi kisha changanya zote hadi zichanganyike vizuri.
Paki kwenye vifungashio kwa ajili ya kuuza. Au tumia kwa matumizi binafsi

-wape kuku mara tatu kwa siku

NEXT
-UTENGENEZAJI WA KEKI

Asante...
-Queen Chagga.
safi
 
Hii ni kwa kuku wa umri gani?
Wa nyama au mayai?
 
Back
Top Bottom