Utengenezaji wa chakula cha kuku

Utengenezaji wa chakula cha kuku

Habari wana Jf....
CHAKULA CHA KUKU

MALIGHAFI
1.MAHINDI YALIYOPARAZWA KILO 25
2.PUMBA YA MAHINDI KILO 10.
3.MASHUDU YA PAMBA KILO 5
4.MASHUDU YA ALIZETI KILO 5
5.DAGAA KILO 5
6. CHOKAA KILO 1
7.CHUMVI KILO 1
8.MIFUPA KILO 1
9. PRE-MIX NUSU KILO
10. DAMU KILO 5

JINSI YA KUTENGENEZA
Mwaga malighafi zako barazani au chumba chenye sakafu safi kisha changanya zote hadi zichanganyike vizuri.
Paki kwenye vifungashio kwa ajili ya kuuza. Au tumia kwa matumizi binafsi

-wape kuku mara tatu kwa siku

NEXT
-UTENGENEZAJI WA KEKI

Asante...
-Queen Chagga.
Mkuu samahani hii ni ya Chich mash... Grower mash or layer mash ( at peak) tuanzie hapo kwanza.....

Maana naona upo too general....
 
Back
Top Bottom