Utendaji wa TBA, Mzee, si tulikutonya?

Utendaji wa TBA, Mzee, si tulikutonya?

MAGUECONOMICS-serikali inafanya biashara ndani kwa ndani hela isitoke nje. Ikibidi kutumia jeshi sawa tu.

Nyaraka za makuhani ziliionya serikali kushindana na sekta binafsi. Roho mbaya haiwezi hata siku moja kuiletea jamii maendeleo; sana sana inaweza kujijengea utukufu!
 
"TBA sio mkandarasi, ni wakala wa nyumba za serikali , na tulijua hilo walitambua vema, maana si mgeni Wizara ya Ujenzi."

"WAKALA TBA kazi yake ku manage masuala ya nyumba za serikali, si kujenga."

Hii ndiyo point ya muhimu...

Cc: mahondaw

Nikiwa mtumishi wa umma niliishi nyumba ya serikali iliyojengwa na TBA; ilikuwa mpya lakini mbovu kupita maelezo!
 
Mkuu unamaanisha gharama za mradi zilikuwa b 20 na akapewa zote pasipo kuanza kazi?? Sidhanu kama hii ni kweli na kama ni kweli sio sawa. Unamlipaje mtu pesa ya mradi yote mwanzoni akiwa hajafanya kitu chochote?? Duuuh
Labda kama useme ilikuwa advance payment tu ila sio gharama nzima ya mradi.
Tatizo tba mkuu anawaamini sana kwa kuprice kazi zao very cheap. Wana minize sana cost mpaka inafika kipindi adi quality ya jengo inakuwa affected.
Tba walipotudanganya hadharani gharama ya blocks za hostel za ud hapo ndioo mashaka yaliponiingia na credibillity yao kwenye kazi za ukandarasi.
Hawa wamekuwa very unrealistic na rate zao mpaka now wameumbuka. Inawezekana kabisa izo bi 20 zisiweze kuifanya io kazi na ndio maana kazi imesimama.

Pia serikali inabidi ijifunze ni hatari sana kumpa tba ioio kazi ya kudesign na kuexecute kazi na kujisupervise mwenyewe aisee hii ni hatari mno .

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
TBA ni noma, nitaongeza nyama kesho
 
Mkuu malipo waliyopewa ni ya awali, Advance Payment.
Na hawa TBA hawaweki dhamana wala Perfomance Bond za benki kama makandarasi wanavyotakiwa kufanya.

Na bahati mbaya sana TBA haina muundo wa kikandarasi kama ilivyokuwa MECCO, ambayo hata hivyo ilisalimu amri na kufilisika.

Siasa ikiinginia katika masuala ya utendaji matokeo yake ndio kama tunavyoona.
Karibia wizara zote hazipendelei kuichukua TBA kama mkandarasi, maana akivurunda huna cha kumfanya na pesa nfo imepotelea idara nyingine ya serikali, TBA.
 
Wazazi wangu walifanya makosa makubwa sana kunizaa Tanzania...hii aibu ya kuitwa Mtanzania naipeleka wapi mimi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Monde, acha kufuru na kuwatwisha wazazi wako zigo lisilowahusu. Awamu hii itapita, na maisha yataendelea.
Mshukuru Mungu kwa kila jambo, lakini sio kwa kuwalaumu au kulaani uzao wa baba zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana mh. Rais kaja juu.
Idara yake penzi ya TBA inasuasua.
Huko Magereza Ukonga ligwaride la ujenzi wa nyumba unaenda kwa mwendo wa kinyonga!

TBA walipewa, CASH, bilioni 20 kujenga nyumba za wana Magereza mwaka 2016, mpaka sasa mradi umefikia 35% ya maendeleo.

Mradi majuzi ulitembelewa na waziri mdogo Mambo ya Ndani, ndg Masauni.

Kwa spidi ya utekelezaji wa mradi TBA itawachukua miaka 12 kukamilisha kazi, leo ni mwaka wa 3-4 toka kazi ianze.

Lakini ngoja kidogo mzee, mh Rais.

Si tulikutonya hapa JF na kwingineko mitandaoni?

Ile ilikuwa early warning.

TBA sio mkandarasi, ni wakala wa nyumba za serikali , na tulijua hilo walitambua vema, maana si mgeni Wizara ya Ujenzi.

WAKALA TBA kazi yake ku manage masuala ya nyumba za serikali, si kujenga.

Vituko vilianza na mabweni ya chuo kikuu Mlimani.

Sitaongelea pesa ndogo kiduchu zinazosemekana kutumika, lakini ni wazi , kazi ilikuwa chini ya viwango
Mwanafunzi aliyelalamika mitandaoni juu ya kupasuka kuta, aliwekwa ndani, lakini si kwa amri yako , ni wale wapambe wasiotaka kukutonya ukweli.
Na kwa kweli hawakutakii mema.

Mawazo yangu mzee, TBA warudi kwenye kazi yao ya Uwakala wa nyumba za serikali, kazi za Ujenzi wawaachie wabobezi, Makandarasi.
TBA ina kila aina ya mtaalamu anayetakiwa kwenye ujenzi kushindwa kwao ni labda management mbovu na siyo utaalamu kabisa!!!!!
 
Basi ina wataalamu wadio ns utaalamu
Engineers(soil,desingn,materials e tc)
Quantity surveyors
Architectures
Land surveyors
Technicians(FTC and diplomas)
Shida ni wanaendeshaje kazi,kumbuka tunajaribu kujiondoa ktk mfumo wa "as usual"ambao umeota mizizi na costruction industries ina shida kubwa ya rushwa ambayo ni ngumu kuliko fani zingine kwani michezo mingi ni kati ya Districs /Regional engineers na mkandarasi
 
serikali kitu inaweza ni kuthibiti watu wenye kuonesha njia kwa kukosoa madhaifu yao.

hapo watafanya kila kitu ila sijui kutoa huduma za kijamii,ulinzi, hapo ni bashite

Mkuu unamaanisha ‘bashite ni SI UNIT? Yaani mtu akikosea unaeza sema uyu jamaa kakosea bashite 3?
 
Engineers(soil,desingn,materials e tc)
Quantity surveyors
Architectures
Land surveyors
Technicians(FTC and diplomas)
Shida ni wanaendeshaje kazi,kumbuka tunajaribu kujiondoa ktk mfumo wa "as usual"ambao umeota mizizi na costruction industries ina shida kubwa ya rushwa ambayo ni ngumu kuliko fani zingine kwani michezo mingi ni kati ya Districs /Regional engineers na mkandarasi
Tatizo kubwa ni watu wasio na uelewa mkubwa wa masuala ya fani ya ujenzi kujidai wanajua kila kitu juu ya ujenzi.

Mwisho wao kufikiri katika ujenzi ni pesa na mkandarasi tu!
Hawajui kuwa pesa na mkandarasi ni only 40% ya realisation of a project.

Najiuliza kila siku, kama TBA ni mkandarasi basi TANROADS nao wanunue mitambo wakachonge barabara nchi nzima.

Flawed thinking in principle
 
Jeshi linauwezo Wa kusimamisha majengo ndani ya huo muda kwasababu wanayonguvukazi ya kujitosheleza.

Wakiamua kuchukua vijana 3000 Wa JKT wakaenda hapo kwenye mradi kazi itapigwa ndani ya muda Wa miezi miwili na kumaliza kabisa.

Nadhani JWTZ hakuna isichoweza kama tu itaamua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana mh. Rais kaja juu.
Idara yake penzi ya TBA inasuasua.
Huko Magereza Ukonga ligwaride la ujenzi wa nyumba unaenda kwa mwendo wa kinyonga!

TBA walipewa, CASH, bilioni 20 kujenga nyumba za wana Magereza mwaka 2016, mpaka sasa mradi umefikia 35% ya maendeleo.

Mradi majuzi ulitembelewa na waziri mdogo Mambo ya Ndani, ndg Masauni.

Kwa spidi ya utekelezaji wa mradi TBA itawachukua miaka 12 kukamilisha kazi, leo ni mwaka wa 3-4 toka kazi ianze.

Lakini ngoja kidogo mzee, mh Rais.

Si tulikutonya hapa JF na kwingineko mitandaoni?

Ile ilikuwa early warning.

TBA sio mkandarasi, ni wakala wa nyumba za serikali , na tulijua hilo walitambua vema, maana si mgeni Wizara ya Ujenzi.

WAKALA TBA kazi yake ku manage masuala ya nyumba za serikali, si kujenga.

Vituko vilianza na mabweni ya chuo kikuu Mlimani.

Sitaongelea pesa ndogo kiduchu zinazosemekana kutumika, lakini ni wazi , kazi ilikuwa chini ya viwango
Mwanafunzi aliyelalamika mitandaoni juu ya kupasuka kuta, aliwekwa ndani, lakini si kwa amri yako , ni wale wapambe wasiotaka kukutonya ukweli.
Na kwa kweli hawakutakii mema.

Mawazo yangu mzee, TBA warudi kwenye kazi yao ya Uwakala wa nyumba za serikali, kazi za Ujenzi wawaachie wabobezi, Makandarasi.

TBA grabbed the opportunity with two hands. That was the moment they long for so long to happen. Wakafikiria ndio zama zile za funika kombe mwanaharamu apite.
Sasa hivi wanatakiwa kuwa accountable. Wasipokuwa makini watazitapika hela walizochukua.
Kwani wakandarasi wazalendo wana shida gani? We have learned now....tuwatumie ila kwa mujibu wa sheria
 
Back
Top Bottom