sajo
JF-Expert Member
- Nov 8, 2010
- 3,029
- 5,259
Tunashukuru vile umekuja na kujibu maswali kwa wakati.Ahsante kwa ushuhuda wako
Tafadhali tusaidieni taarifa kamili tupo kuwahudumia
Unatakiwa kufanya nini ili kubadilishiwa tarrif? Mimi nimeunganishiwa umeme mwezi Januari 2020 nikapigwa tariff 1 nafikiri (ile ya elfu 10 unit 28), matumizi yangu kwa mwezi ni wastani wa unit 60, ninaona ninastahili kuwa katika tarrif ya matumizi madogo (tarrif 4 nafikiri - sina uhakika, kama nakosea nirekebishwe) nipo Kiluvya.