Mchochezi
JF-Expert Member
- Feb 29, 2012
- 10,416
- 6,579
Habari zenu wakuu, leo nimeona tupeane elimu kidogo kuhusu Mawaziri wakuu wetu, ukizingatia Waziri Mkuu ndiye mtendaji Mkuu wa shughuli za serikali Bungeni, Je ni yupi alikuwa bora haswa katika suala la utendaji na uchapaji kazi tukianza na wa kwanza Nyerere mpaka huyu wa sasa wa kumi, Mizengo Pinda? Je ni waziri mkuu gani aliboronga zaidi?