Utendaji kazi wa Lowassa Vs wa Sumaye kama Waziri mkuu

Habari zenu wakuu, leo nimeona tupeane elimu kidogo kuhusu Mawaziri wakuu wetu, ukizingatia Waziri Mkuu ndiye mtendaji Mkuu wa shughuli za serikali Bungeni, Je ni yupi alikuwa bora haswa katika suala la utendaji na uchapaji kazi tukianza na wa kwanza Nyerere mpaka huyu wa sasa wa kumi, Mizengo Pinda? Je ni waziri mkuu gani aliboronga zaidi?
 
Mkuu Musso, hili mbona naliona kama sio swali!, hili mbona ni kama jibu tuu?!.
The best ever TZ PM, is one and only him!, of which, if he will be...!, for the second time since Nyerere, Tanzania will get the best ...ever!.

Huyu sii mwingine bali ni yule yule the one and only...

Pasco.
 
Ungekuwa mkweti na unasimama katikati,ungebaini ya kwamba shule za kata hazikuanzishwa na Waziri Mkuu Lowasa.Shule za kata zilianza wakati wa Rais Mkapa,Samaye akiwa waziri mkuu,na Lawasa akiwa waziri wa maji katika serikali ya Rais Mkapa.Lowasa aliingia katika awamu ya pili ya uendelezaji wa shule za kata.
Pili hata dispensaries za vijijini zilianzia kwenye awamu ya tatu ya uongozi wa nchi hii.
Barabara nyingi zinazoonekana leo ,mikataba yake mingi ilisainiwa wakati wa Mkapa.Rais Kikwete ameendeleza kazi iliyokuwa imeachwa na aliyemtangulia,na kuanzisha mingine,ambayo pia itakamilishwa na rais ajaye.
 
Mkuu Musso, hili mbona naliona kama sio swali!, hili mbona ni kama jibu tuu?!.
The best ever TZ PM, is one and only him!, of which, if he will be...!, for the second time since Nyerere, Tanzania will get the best ...ever!.

Huyu sii mwingine bali ni yule yule the one and only...

Pasco.

Umelewa vibaya mno!!
 
Bora kilaza au bora fisadi ?mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.among the best pms in urt history ni yule fisadi ALIFANYA KAZ NZURI ILA KWA URAIS MM! TUTAUZWA WOTE.hivi sumaye bado yu hai kisiasa ?
 
Kulinganisha Lowassa na Sumaye ni sawa na kulinganisha mlima na tuta. Wakwanza mlima wa pili tuta respectively.
 
Watu mnawazungumzia Sumaye na Lowassa tuu, vipi Salim Ahmaed Salim, Mfaume Kawawa, Cleopa Msuya, Sokoine, Malecela na Warioba? utendaji wao ulikuwaje??
 
Mkuu Musso, hili mbona naliona kama sio swali!, hili mbona ni kama jibu tuu?!.
The best ever TZ PM, is one and only him!, of which, if he will be...!, for the second time since Nyerere, Tanzania will get the best ...ever!.

Huyu sii mwingine bali ni yule yule the one and only...

Pasco.

mkuu umeniacha njia panda, kama vipi fungukaaa
 
Watu mnawazungumzia Sumaye na Lowassa tuu, vipi Salim Ahmaed Salim, Mfaume Kawawa, Cleopa Msuya, Sokoine, Malecela na Warioba? utendaji wao ulikuwaje??

nazani hapa ni suala la umri wa wachangiaji, vijana wengi utawala wa kuanzia kwa sumaye kurudi nyuma walikuwa wadogo kiasi kwamba hawakujua nini kilichokuwa kinaendelea. Pia hata midia enzi hizo zilikuwa chache hivyo haikuwa rahisi mtu wa kawaida kufuatilia utendaji kazi wa waziri mkuu, kiwango cha elimu pia kilikuwa tatizo kwa watanzania wengi. Wasomi walikuwa bado wachache sio kama siku hizi. Mfumo wa chama kimoja haukuwa na chama cha kupresharaize chama tawala kama ilivyo sasa. Mambo yameanza kukaa sawa wakati wa mkapa na sasa kikwete. Ndio maana watu wengi wanamlinganisha mkapa na kikwete na si nyerere na mwinyi katika utendaji. Wakija wazee kama akina Kingunge ndie anaweza kuwa na data za kuwachambua mawaziri wakuu wote kumi maana alikuwa anajitambua kila utawala. Kijana mdogo utaishia kusoma data na kusimuliwa lakini hukuwepo enzi hizo. Hivyo utapata secondary data which are sometimes not reliable source.
 
umesomeka mkuu
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom