Utekaji (kidnapping): Chatu anayeitafuna Tanzania

Amaekutia anahasara sana.
 
Unapumuliwa
 
Bora kushika jembe kupalilia magugu maana kelele zangu hazifiki hata hapo wilayani.
 

Acha kuandika utumbo
 

Sina shida na. Gazeti lako. Shida umeliweka kisiasa sana. Afu mauaji ya kibiti uliyaskia. Haya.
 
Hakika Omar umeandika.....umenena kiufasaha....Tanzania usipokuwa na kitu thamani ya utu wako kapuni.....hata ukifa ndani jirani yako tu hutajua.....
 
Halafu kwa nini watekwaji wote ni wa kiume?!
Mashirika ya utetezi wa haki za kijinsia yalitazame hili.
 
Mbona haujasifia Tz hakuna vita wala waasi. Umetaja Marekani kwa Mbwembwe sana halafu ukasahau wao ndiyo wameharibu Libya mpaka imechakaa,Mbona huzungumzii jela ya Quantam Bay kule inayomilikiwa na Marekani na hakuna Mtuhumiwa anayepelekwa Mahakamani, Mbona huzungumzii juu Ugaidi unaotokea Kenya kila siku vipi unafikiri wanakosea wapi na Tz wanapatia wapi. Usifikiri kitoto vipi kuhusu Ndege la Iliyopotelea Angani na Raia wa mataifa mbalimbali zaidi ya mia mbili umewahi waza kwanini yalitokea,Kulikuwa hakuna watu muhimu mule?.Kwakuwa unafanya siasa Uchwara endelea kuropoka maana ndiyo zinakupa Ulaji ila kaa ukijua kila taifa uhalifu upo na kuna watu wanaendelea kupambana na kuna watu wanaendelea kufanya Uhalifu.
 
Katiba mpya, time huru ya uchaguzi na mahakama huru ndio vitu vinavyoweza kutatua changamoto hizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…