Utekaji (kidnapping): Chatu anayeitafuna Tanzania

Makinikia uandishi wako ni wa hivyo kabisa basi kidumu chama cha mapinduzi
 
Kuna raia mwngne MOHO ametekwa!!!!!!!!!!!
 
Heeee hatupo salama kabisa kuna tajiri mwingine katekwa tena.... Lakin huyo Moho anafanya kazi gani au mmiliki wa gongowazi
 
Nadhani wameanza kupokea kupotea machoni kwa Mo, hatujui kama bado yupo hai, ila Mungu ajarie tumpate akiwa hai,

Naona haka ni kamchezo kameanza aisee kuna siku tutakuwa tunajadili kutekwa kwa mwingine, kwasababu ni kama tunayazoea vile,
 
Duniani paliwahi kuwa na Tawala na Watawala wenye nguvu sana na wengine walithubutu hata kumkana MUNGU lakini sababu ya kiburi chao na kutokutenda katika njia ya HAKI tawala zana na wao pia walionguka.
Kwahio hakuna kinachowahi wala kuchelewa chini ya Jua kila jambo lina muda na wakati wake.
 
Ndiyo
 
Watanzania tuna imani sana yaani mtu anaamini akiandika #Bring back our Mo# basi watekaji wataogopa na kumrudisha MO kirahisi rahisi ovyo

Anyway #Bring back our Mo#
 
Duniani paliwahi kuwa na Tawala na Watawala wenye nguvu sana na wengine walithubutu hata kumkana MUNGU lakini sababu ya kiburi chao na kutokutenda katika njia ya HAKI tawala zana na wao pia walionguka.
Kwahio hakuna kinachowahi wala kuchelewa chini ya Jua kila jambo lina muda na wakati wake.

unataka kusema nini? unafumba fumba nini wewe umemteka MO? unafununu? unajua yuko wapi?
 
Nadhani wameanza kupokea kupotea machoni kwa Mo, hatujui kama bado yupo hai, ila Mungu ajarie tumpate akiwa hai,

Naona haka ni kamchezo kameanza aisee kuna siku tutakuwa tunajadili kutekwa kwa mwingine, kwasababu ni kama tunayazoea vile,
Mbona Marekani walishatekwa watu kibao, Ujeruman, Ufaransa, Iran, Iraq, Nigeria, SA, DRC,Kenya, Uganda, he mbona hujazungumza kuwa wamezoea kamchezo??? Acha ukuda, na uzandiki. Eti kamchezo, tumia akili kabla ya kupost, tambua kwamba vitendo hivi ni kawaida katika Dunia iliyoumbwa na Mungu, na wala siyo Tanzania kwa Mo na wengine. Acha ujinga
 
Na bado kuna watu kama Kenge hawasikii mpaka masikio yatoke Damu, hata wewe sijawahi kukuona ukihoji ili, ila sasa umeguswa na unakuja, nawengine hivyohivyo siku wakitekwa ndugu zao watakuja tu.
 
Back
Top Bottom