SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,081
- 75,445
Kwa hiyo Sukuma Gang mumejipanga kumletea Samia usumbufu kwenye utawala wake,ok tutaona mwisho wa siku nani ataibuka kidedea,ila mjue nazi haiwezi kushindana na jiwe.Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Usifurahie mambo haya...Ombea nchi yako...Nobody is safe if there is no peace!kigogo ana uchungu rafiki yake kanyonyolewa manyoya bila maji ya moto.
Acha mawazo ya kufikirika, ombea amani na mshikamano, we need our peace!Kwa hiyo Sukuma Gang mumejipanga kumletea Samia usumbufu kwenye utawala wake,ok tutaona mwisho wa siku nani ataibuka kidedea,ila mjue nazi haiwezi kushindana na jiwe.
CCM ya mwendazake mna matatizo makubwa, yaani mama kuongea na kina Mbowe imekuwa nongwa ? tukutane majukwaani - nchi ipo salama usitishe watu kijana.Usifurahie mambo haya...Ombea nchi yako...Nobody is safe if there is no peace!
Ila hao uliowataja baada ya kuwatumbua wasiowaamini waliwapa kazi za kugonga HANGER na MAPAZIA ikulu?Kawaida hakuna Rais ambaye hakuwa na watu wa kwenda nao toka Nyerere, Mwinyi, Mkapa, Kikwete, Magufuli na Sasa Samia wote waliweka watu wanaowaamini kwenye tawala zao!!
Muhimu tupiganie katiba mpya iliyo bora haya ndio yataisha!!
Una matatizo gani? CCM ya mwendazake ni ipi?CCM ya mwendazake mna matatizo makubwa, yaani mama kuongea na kina Mbowe imekuwa nongwa ? tukutane majukwaani - nchi ipo salama usitishe watu kijana.
Tushindane kwa hoja majukwaani, muda wa kutishana, kutekana, kupotezana ushakwisha - someni alama za nyakati.
Nafikiri kauli hii ungemlenga mleta uzi huu na siyo mimi.Acha mawazo ya kufikirika, ombea amani na mshikamano, we need our peace!
Mbona maneno haya hamkuyasema wakati wa fisi aliyejivisha ngozi ya kondoo?Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Mtandao hauja wahi kuvunjwa popote. 2025 ndio utaona mtu akipiga kampeni peke yake.Mmeumia eeh? Mipango yenu yote imevurugwa. Mama yuko smart kuliko wengi wanavyodhani, anakwenda kuvunja kamtandao kote.
Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
The day dreamers, kila zama na kitabu chake.....Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Ni itikadi yetu wana ccm, kupisha wagombea wanaomalizia vipindi vyao, 2025 ameshapita bado kuapishwa tu.Mtandao hauja wahi kuvunjwa popote. 2025 ndio utaona mtu akipiga kampeni peke yake.
Kwa hiyo mnataka wasiwepo watu wengine wakushika nafasi hizo ila wabaki wale wale wa miaka yote eti kisa wakitolewa watamvuruga? Punguzeni ubinafsi watanzania wapo mil 69+Unapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Waache wamvuruge mpemba akasirike atuachie katiba mpya ambayo wao hawataki kuisikia.Ukiona hivyo ujue huyo ni mfuasi wa hayati.
Anatapatapa tu... Anadhani Mama anafanya mabadiliko makubwa kama haya akiwa jikoni anakaanga chapati. Hajui Urais ni taasisi na haya hayafanyiki bila makubaliano na wanataasisi...
Sukuma Gang mna matatizo sanaUnapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.
Ndugu yetu huyo na atarajie hayo kumpata kutoka kwa aliowavuruga ama kuwatosa.
Ukweli ni kwamba wao pia yapo baadhi ya mapungufu ya aliyewatosa wanayajua/ kuyafahamu na ili kujipoza nafsi sasa ni wazi wataanza kuyapenyeza kwa wasema hovyo ili tu wamfedheheshe kwa namna moja ama nyingine.
Tushangilie kwa akiba huku tukiwiwa na kiasi.
Kwangu mimi hili game ndiyo kwaaaanza ni dakika ya 10 ya mchezo na rasmi utamu wa mchezo umeanza kukolea.
Anao wakati mgumu sana ujao bi Chakunaku.
Aliyemuelewa pls adadavueUnapoanza kuwavuruga wakurungwa ni wazi tarajia majawabu ya hila na chuki kwa sababu ki binadamu nyongo na kisasi ni sehemu ya kile mwathiliwa hukifikiri na kukitenda akiamini anakukomoa kwa kile ulichomtendea.