lifuen2015
Member
- May 15, 2015
- 93
- 13
Tangu kuingia kwa utawala wa JPM nimeamini kuwa yeye ni muumini wa utawala wa na pia anaamini akiisimamia haki na kuwakabili wachache walioshika haki za wengi kama.wanaoutumbuliwa majipu sasa,haki automatic lazima iibuke,na wengine waliokuwa sehemu ya wanufaika wachache wanatafuta busara mbuzi kukosoa jitihada halali za JPM,swali ni kwamba hivi kweli hawaoni anachofanya Ngosha mzee wa kazi Rais Magufuli,ama husuda tu nafsi zao zinakiri?mti.wenye matunda daima hupondwa mawe tafakari