Akizungumza Leo ktk kipindi cha maoni cha idhaa ya kiswahili cha Redio ya ujerumani. Mwanasiasa mkongwe na mwanaharakati wa SIKU nyingi JENERALI ULIMWENGU umesema haoni lolote jipya linalofanywa na raisi John Magufuri zaidi anacho ona ni vita ya MTU mmoja.
Amesema kuwa style ya uwongozi wa bwana magufuri ni kutia hofu wala si kuweka ni dhamu kwa SIKU zijazo.
Amesema style hizi zilisha wahi kutumiwa na viongozi kama Sokoine, Mrema na Kawawa lkn walipoondoka hakuna jipya lililoendelea na watu wakaendelea na utaratibu wao.
Ameendelea kusema kuwa viongozi wengi kufanya kazi na maamuzi kwa ajili ya kumfurahisha bwana mkubwa au kuogopwa kutumbuliwa.
Anasema haoni ujengaji wa taasisi imara za kufanya maamuzi ambazo zitakua endelevu kiasi ya kwamba hata asipokuwepo mambo yataenda.
Amekosoa mtindo wa kutoa matamshi na maamuzi ya kukurupuka kwani hayasaidii jamii bali huididimiza.
Nakuwataka wananchi kuchagua viongozi wa kuongoza na wala si watawala wa kutawala kila kitu bila kufwata sheria.
CHANZO: DW SAA 7 Leo.