Utavuna utakacho comment ,

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
13,185
18,513
FB_IMG_1483501602687.jpg
 
Tunataka chanel zile za bure zirudishwe la sivyo waturudishie analogia yetu maana antena bado tunazo. Hii ni laana na unyonyaji mkubwa kwa kutaka kuwakamua maskini wa nchi hii kila walichonacho.
 
Millioni 7 zinahusika hapo mwenye nazo atutafsirie kauli hiyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom