Konzo Ikweta
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 766
- 1,532
Code# Usiache Kutabasamu
Wema una tabia ya kurudi, haupotei wala kusahaulika. Ulichomfanyia mzazi wako leo, iwe ni upendo, heshima au msaada. kesho kitapata njia ya kukurudia kwa namna isiyotarajiwa kupitia watoto wako.
Maisha yana mzunguko wa ajabu; yale unayopanda leo ndiyo yatakayoota kesho.
Hivyo basi, fanya wema bila kusita, kwa moyo safi na nia njema,
kwa sababu dunia ina kumbukumbu ndefu kuliko unavyodhani. Na siku itakapofika, utavuna matunda ya matendo yako mwenyewe iwe ni baraka au funzo