Jamii forums, utacheka Sana, hata ukiwa umenuna. Hivi aliyeweka mada alitaka kutueleza kuhusu viatu vya kijani na suruali ya khaki au alitaka tuone huyo dada mwenyewe kijungu, du si mchezo ametokelzea na makalio yake ni hatari.
Naona khanga moko live bila muziki. Sijui wapi huko maana natafuta maeneo tulivu kama hayo ninunue nyumba ya kuishi nimeshachoka na makelele ya huku Kariakoo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.