Raha inalika tu, mbona coco beach jamaa hawaogopi?utathubutu kula raha namna hiyo na raha ikalika?
Mkuu hapa ni kusuzza macho na kutafakari ni vipi wenzetu wana ponda raha bila ufisadi wa mali za inchi yao na hiyo ofa yako hauna ubavu nayo kutokana na ukata wa kimaisha ya kibongo na hapo mbuga za serengeti tuu nangaa inapaa sembuse huko majuu
nimeipenda...
utathubutu kufanya kama alivyofanya huyu mrembo?
kwa hiyo mkuu wewe hapo hutathibutu hata kidogo!!!pamoja na yote hawa jamaa wana roho ngumu. tatizo hapo sio jiwe kutumbukia rahasha. kwa sababu limekwama kwa kushikiliwa na mawe mengine. tatizo hapo ukiteleza tu! biashara imekwisha.