Utatambuaje Mercury fake na original kwa kutumia maji?

Inayicheza dollar 200-300 ni hiyo nyeupe au silver qatumiayo kukamatia dhahabu tu...na huwa ni ya kiwanda

Na hiyo ya kufanya atomic bomb siyo hiyo ya maji ni nyeusi ya unga.
 
Na ukumbuke zipo amina mbili zilizogawanyika
1
Maji
2.unga
Na zote zinakuwa na rangi tofauti na pia kwenye soko kiuthaman kwa muda wa miaka hii 3 mpaka sasa tukianza na yenyeuthamani wa huu mpaka ya nwisho.
-black/nyeusi
-njano
-kijani
-blue
-nyekundu
-rangi ya udongo
Na nyeupe/silver
 
Hiyo mkuu ni hatari kweli kweli na ukiingia tu lazima upate ulemavu.
Wapi waliokurupuka kuichimba kwa nikono wakichanganya na Mercury ya unga mpaka Leo wanatia huruma
 
Ndugu nijuze bei ya ruby kwa grm
Samahani ndugu ni spinal au?
Au ni
IPI kati ya hizi?
FB_IMG_1513677152527-1.jpeg
FB_IMG_1495226485828.jpeg
 
Wenye uelewa tusaidieni basi mbona kimya
Ni aina ipi uliyonayo maana kuna ruby kama Ruby na spinal(ruby spinal)kama hizo picha hapo juu likinipia kwa upande wa ruby spinal kuna red,pink nk
Je, IPI kati ya hizo unataka kujua?
 
Haimiminiki ka maji bali hufanya vigololi saizi tofauti tofauti na kuvingirika haisambai ka maji
 
Nina brother wangu ana red mercury zaidi ya gram 100 yenyewe ni nzitonzito na ukiiweka kwenye maji inaweka yigololi gololi na hata ikimiminika chini hainasi mchanga ni nzitonzito nyekundu
Mambo vp hyo mercury ya kaka yako ni ya kiwandani ?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom