Utatambuaje Mercury fake na original kwa kutumia maji?

mangia22

JF-Expert Member
Mar 10, 2017
447
185
Habari za muda huu wajasiriamali wenzangu. kwa mwenye utaalamu kidogo na hii kitu naomba anijulishe tafadhali
 
sory ukimimina kwenye kitambaa chochote kile na siyo cheupee tu ukikamua mercury itapenya. isipokuwa inategemea na matundu ya kitambaa. kama ni makubwa itapenya kwa wepesi zaidi na kama ni membamba itapenya kwa tabu.
 
Nina brother wangu ana red mercury zaidi ya gram 100 yenyewe ni nzitonzito na ukiiweka kwenye maji inaweka yigololi gololi na hata ikimiminika chini hainasi mchanga ni nzitonzito nyekundu
 
Back
Top Bottom