Utatambuaje Mercury fake na original kwa kutumia maji?

Nina brother wangu ana red mercury zaidi ya gram 100 yenyewe ni nzitonzito na ukiiweka kwenye maji inaweka yigololi gololi na hata ikimiminika chini hainasi mchanga ni nzitonzito nyekundu
Red mercury is a myth. Mwabie Huyo brother ako ni BILIONEA kama anayo kweli wameishaangaika watu wengi kuipata lakini haipo.....
 
Ila tu kwa ushauri wangu juwa making kuna wanao itwa dar es salaam square wao wanadai wanamtu na wakati huo watakuzungusha mjini mpaka ushangae na mwishowe hata kutapeliwa Mali yako

Narudia tena kama bado unayo na IPO njema,Na unaamani ya moyo karibu tuendelee mbele.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom