Utata waibuka UKAWA

Utata waibuka UKAWA

Tatizo lenu watanzania wabovu nyote sisi kwetu hakuna ujinga wa namna hii,,TATIZO NI WENYE KAULI
 
mbowe anapenda sana wakamate madaraka ili mambo yamnyokee,atafanya lolote ndoto yake itimie

Ndugu Elungata ,Mwanasiasa yoyote duniani anapenda Madaraka ,ukiona mwanasiasa hataki madaraka huyo sio Mwanasiasa Kamili,sasa..
 
Utata uko wapi hapo chin. Au ni ukada wako wa ccm ndio utata. Mbona akina nape waliwahi kusema waziri magufuli ni mzigo na anasafiri mno nje lakini leo hii wamemteua yeye kuwa mgombea wao.
flip

11755168_800877693361221_1179078706931129507_n.jpg

flop

11059384_800877760027881_5436093761734057465_n.jpg

Utata uko wapi hapo chin. Au ni ukada wako wa ccm ndio utata. Mbona akina nape waliwahi kusema waziri magufuli ni mzigo na anasafiri mno nje lakini leo hii wamemteua yeye kuwa mgombea wao.
Kwisha Habari yako.
 
Back
Top Bottom