Utata wa mimba

Utata wa mimba

Dunia

Member
Joined
Nov 8, 2014
Posts
96
Reaction score
19
Naomba mnisaidie kwa wanaojua, uchukua muda gani hadi binti kukwambia ana mimba yako? kuna dada tuko nae kenye mahusiano mwaka moja na miezi miwili.

Kwasasa ana mimba ya miezi saba. Habari za mimba nilianza kuzisikia toka kwa rafiki zake, nikamuuliza "nasikia una mimba?" akasema " kama ninayo si ina baba ake?", nikatulia maana niliona anataka kuwa mkali.

Baada ya mimba kufikisha miezi mitano ndo akanambia eti ana mimba, nikamwambia si nilikwambia walinambia una mimba ukakataa? akasema si nilikwambia ina baba ake?. akanambia kama nilipenda utamu basi nikubali na mengine. wasiwasi wangu kwanini hakunambia mapema? yaani wiki ya kwanza ya mimba?

Yeye anadai mimba ya kwangu. mwenye uzoefu katika hili anisaidie nipo njia panda ndugu zangu! akina dada nategemea mawazo yenu katika hili. i'm so confused. Dada tunasoma nae chuo kikuu hapa Dar.
 
nshawai kufanya nae. kwanini hakunambia mapema icho ndo kinanifanya niwe na mashaka.
 
U are confused na nini sasa? Au hukuwahi kufanya nae mapenzi....kama hujawahi kweli kakuonea
nsafanya nae, tatizo mbona hakunambia mapema? isije ikawa alichepuka
 
Wengi wanaogopa kusema mapema hamkawii kuwaambia watoe.
mara ya kwanza alinambia na akasema hayuko tayari kuwa na mtoto had agraduate so akanandikia dawa fulani nikaenda mchukulia pharmacy. wala nisingemwaqmbia kutoa, sipendi kitu iyo
 
" kama ninayo si ina baba ake?''...what a line!!!
 
.hiyo ni yako tu Mkuu, anza kuandaa mazingira ya kijacho, ungeambiwa mapema hakika kuna mengi yangekwama..
 
"Kitanda hakizai haramu"
ulificha moto kichakani, ukujua kama baadae moshi utafichua siri!
 
kwa uelewa wangu..!
huyo dada aliwaweka wawil..!
ni ngumu sana uwe na mimba usimjuze mhusika no matter reaction wanawake huwa tuko hivo..! kama ni tofaut basi kuna shida mahal.!
what i can see kaona wewe unapangika ( yaan mwepesi kuelewa) , lazma kapeleka huo mzigo mahal katolewa balu, yawezekana kwel ni ya kwako ila alitaka kumpachikia mtu kachomoa ndo kaona airudishe kwa mwenyewe..!
kaen naye chin vzur utaprove haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom