Utata wa kifo cha muasisi wa FRELIMO na kuibuka kwa Samora Machel

Nina habari kuwa Samora alishawahi ishi iringa. Kuna sehemu yaitwa FLERIMO. Kuna vijumba vya wapigania Uhuru Mabosi. Moja ilikuwa yake. Pia nna taarifa kuwa Mkewe alisha wahi fundisha kule Kaole Bwagamoyo....
Je, kwanini na yeye aliuwawa mpakani mwa AK akitokea Zambia?
 
Ni ukweli mchungu, na hili Mwalimu Nyerere alijua kuwa ni ukweli mchungu.

Nilikuwa na maana halisi ya kuanzisha mada hii

..ni RISK kubwa sana ku-host makundi yenye silaha.

..kwanza, Tz tulikuwa tunakaribisha mashambulizi toka kwa wareno na makaburu.

..pili, kulikuwa na hatari ya kutokea vurugu na mapigano baina ya hawa wapigania uhuru wenyewe kwa wenyewe ndani ya ardhi yetu. Zanu na Zapu toka Zimbabwe walishapata kupigana kwenye makambi yao yaliyokuwa Tanzania.

..tatu, kulikuwa na hatari ya hawa wapigania uhuru kufanya vurugu au maasi dhidi ya serikali ya Tanzania. Kuna taarifa za kihistoria za wapiganaji wa ANC kuamriwa kuondoka Tanzania kutokana na sababu za kiusalama. Rejea historia ya makao makuu ya ANC kuhama toka Tanzania kwenda Zambia. Pia rejea historia ya Yasser Arafat na PLO kuhamishwa toka Jordan kwenda Tunisia.

..Samora Machel alitwaa madaraka ya Frelimo kwasababu yeye ndiye alikuwa mkuu wa majeshi. Askari wa Frelimo walikuwa nyuma yake, na hivyo kumwezesha "kumpindua" Uria Simango ambaye alikuwa na background ya Uchungaji wa Kanisa.

..Pia kwenye bandiko lako umemuelezea Samora Machel kama "mfunga vidonda" ktk majeshi ya Frelimo. Yes, Samora Machel aliwahi kuwa muuguzi, lakini baada ya kujiunga na Frelimo alipata mafunzo ya kijeshi kwa hivyo ni askari aliyekamilika.

..Vilevile sijui kama umewahi kumuona Samora Machel au kumsikiliza. Huyu bwana alikuwa na karama ya kuzungumza na kuhamasisha. Kuna kipindi alikuja Tanzania na kuhutubia zaidi ya masaa manne na wananchi wa Dsm walitulia na kumsikiliza.

..Frelimo ilihitaji kiongozi aina ya Samora kumrithi muasisi wao, Eduardo Mondlane, ambaye aliuwawa.
 
Asante sana mkuu wangu kwakuleta mambo mpya yenye kuibua mjadala zaidi,

Sura ya uafrika wetu inatanabahi
 
Tatizo la huyu kijana mara nyingi ni ukurupukaji. Hapa ni sawa na kusema kifo cha Com. Josiah Tongogara kilipangwa na Robert Mugabe. Sina uhakika kama Yericko ana habari za Casimiro Monteiro.
Sioni ni kwa vipi amekurupuka ikiwa ameweka wazi kuwa kifo chake kina utata.
 
zamani tukiimba 'tunaomba samora atawaleee....' pia tukiimba jinsi ya kuvuka mto zambezi na kwapiga wareno., tulikuwa na uzalendo kweli. tuliokuwa tunasoma tuliwasaidia frelimo kuimba tukiwa shule kila asubuhi,tuliwaombea nchi za msumbiji,angola,namibia, afrika kusini,baadae zimbabwe . kwa sasa uzalendo umeisha....watu wanapiga mabao tu
 
Yericko na wanajukwaa naomba tusaidiane , "Kuna uhusiano gani wa kifalsafa na utendaji kati ya CCM na FLERIMO ya sasa?" Pia izingatiwe kwamba mwaka 1976 vikosi vya Tanzania vilikuwa vimeambaa katika viunga vya Maputo na hadi mwishoni mwa 1978 ilibidi askari wa Msumbiji waje kusaidia Tanzania kupigana na Uganda kwa kile Samora alichokita kwamba anawamini askari wa Tz kulikop wa kwake ambao alitoa kikosi cha askari mia sita kusaidia vita Kagera na wengi wao walifia vitani huku.
 
..mahusiano ya Frelimo na CCM hizi za sasa ni kwamba vyote ni vyama tawala ktk nchi zao. hakuna lingine.

..pia ukumbuke kwamba wakati wa vita ya ukombozi tanu na baadaye ccm vilikuwa ni vyama dola.

..kwa maana nyingine suala la kujitolea ktk vita vya ukombozi lilikuwa ni la wa-Tanzania wote ambao leo hii wengine wapo ccm, chadema, nccr, cuf, etc etc.

..Katika vita vya Kagera marafiki Algeria, Angola, Msumbiji, na Zambia ni kati ya marafiki zetu waliotusaidia kwa hali na mali. Particularly, Msumbiji walituma askari kuja kupigana bega kwa bega na askari wetu.

..Baadaye wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi Tanzania ililazimika kupeleka askari Msumbiji kusaidia ktk vita dhidi ya magaidi wa Renamo.

..Miili ya askari wetu waliokuwa wamezikwa maeneo mbalimbali Msumbiji ilirejeshwa nchini wakati wa utawala wa Mzee Mkapa na kuzikwa kwa heshima za kijeshi ktk eneo la Naliendele Mtwara. Majuzi pia Raisi Kikwete alitoa nishani za "Operation safisha Msumbiji" kutambua mchango wa mashujaa wetu waliopigana dhidi ya magaidi wa Renamo.
 
Mmmmmmmmmmmmmmmmmh! Akhsante kwa kutoa uhusiano wa kihistoria zaidi ya nilivyouliza kuhusu uhusiano wa KIFALSAFA na UTENDAJI.
 
Mozambique to return bodies of Tanzanian soldiers

Maputo- Mozambique (PANA) -- The bodies of 99 Tanzanian soldiers who died fighting Rhodesian and apartheid aggression in Mozambique will soon be returned to their homeland.

Mozambique's defence minister Tobias' Dai told journalists in Maputo Friday that the task of collecting the bodies from their temporary resting places in Mozambican cemeteries begins on Saturday.

Dai said that the Mozambican government has made $50,000 available to support the exhumation, and transport of the bodies.

A Tanzanian delegation arrived in Maputo on Friday and will visit the four provinces where the soldiers were buried.
The bodies will be taken to Quelimane, capital of Zambezia province, and then flown to Tanzania.

Sixty of the Tanzanians died in Zambezia, 21 in Tete, 15 in Manica and three in Gaza province.

A solemn ceremony to deliver the remains to the Tanzanian authorities will take place in the southern Tanzanian town of Mtwara on 22 August.

Tanzania sent troops to assist Mozambique on two occasions. The first was in 1977-78, when the country was under attack from the illegal Ian Smith Regime in what was then still called Rhodesia, now Zimbabwe.

In 1987, in the darkest moment of the war of destabilisation, when it looked as if the South African apartheid regime, acting through the Renamo rebels, might succeed in splitting the country in two, the Tanzanian government agreed to send a contingent to help the Mozambican armed forces defend Zambezia. This Tanzanian contingent was withdrawn in 1988.

Military co-operation between the two countries dates right back to the war for Mozambican independence, when the government of Julius Nyerere offered the Mozambique Liberation Front (Frelimo) training facilities and a secure rearguard in southern Tanzania.

In 1976, as Mozambique struggled to transform a guerrilla force into a regular army, 50 Tanzanian military instructors were sent to assist.

And when Tanzania moved to overthrow the Idi Amin dictatorship in Uganda, a contingent of Mozambican troops fought alongside the Tanzanian army all the way to Kampala.
 
..mahusiano ya Frelimo na CCM hizi za sasa ni kwamba vyote ni vyama tawala ktk nchi zao. hakuna lingine.

..pia ukumbuke kwamba wakati wa vita ya ukombozi tanu na baadaye ccm vilikuwa ni vyama dola.

..kwa maana nyingine suala la kujitolea ktk vita vya ukombozi lilikuwa ni la wa-Tanzania wote ambao leo hii wengine wapo ccm, chadema, nccr, cuf, etc etc.

..Katika vita vya Kagera marafiki Algeria, Angola, Msumbiji, na Zambia ni kati ya marafiki zetu waliotusaidia kwa hali na mali. Particularly, Msumbiji walituma askari kuja kupigana bega kwa bega na askari wetu.

..Baadaye wakati wa utawala wa Ali Hassan Mwinyi Tanzania ililazimika kupeleka askari Msumbiji kusaidia ktk vita dhidi ya magaidi wa Renamo.

..Miili ya askari wetu waliokuwa wamezikwa maeneo mbalimbali Msumbiji ilirejeshwa nchini wakati wa utawala wa Mzee Mkapa na kuzikwa kwa heshima za kijeshi ktk eneo la Naliendele Mtwara. Majuzi pia Raisi Kikwete alitoa nishani za "Operation safisha Msumbiji" kutambua mchango wa mashujaa wetu waliopigana dhidi ya magaidi wa Renamo.
Kwakuongeza kibwagizo nikuwa, Wamakonde hawa wa Msumbiji ndio waliofanikisha kuweka ulinzi wakati wa ujenzi wa Daraja la Kagera lililolipuliwa na majeshi ya Nduli. Ilikuwa ngumu sana kwa majeshi ya Tz kulijenga daraja hilo kwakuwa kila wakijaribu kulijenga walikuwa wanashambuliwa, mpaka walipofika wamakonde haw na kulipiga usingizi wa kitaalamu heshi la Uganda, lilipokuja kuamka asubuhi daraja lilikuwa limekamilika
 
Ahajahahahaha.
Interesting brother..thanks wakuu.
Mmepotelea wap sasa now days mmeacha ukiwa jukwaani
 
Back
Top Bottom